sms kutoka loliondo...

Kirode

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
3,566
Reaction score
84
Mimi ni Mchungaji Ambilikile Mwaisapile-Babu wa loliondo. nawashukuru wajinga wote walioacha kazi zao nakuja kutalii katika kijiji cha Samunge,Nasema Asanteni sana,Pia nawashukuru wazinzi wote waliodhani Ukimwi unaweza kutibiwa kwa sh 500. wakati mwingine muwe mnatumia akili' hamuwezi kutafuta ukimwi kwa gharama kubwa halafu ukautibu kwa sh/ 500.pia niwashukuru kwa kuniondolea umasikini.naomba ukisoma ujumbe huu watumie wengine.wenu AMBILIKILE MWAISAPILE.

cc to .wasira magufuli etc. karibuni kwa maoni
 
Kubba'babaake Babu ilifika time akapewa na fieldforce as bodyguard!
1 mistake for 10,000 goals ! **ma kibuyu !
 
Last edited by a moderator:
Kubba'babaake Babu ilifika time akapewa na fieldforce as bodyguard!
1 mistake for 10,000 goals ! **ma kibuyu !

nimeelewa..... k kibuyu huyu babu noma. ahhhhahhhahhhahhh sasa loliondo kuna kila kitu kudadADADADADEKI.....
 
Last edited by a moderator:
chezeiya babu weye
bila hivyo loliondo ingeboreshwa lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…