Wakuu habari za mchana,
Nadhani tunajua watu wengi sikuhizi wamekuwa wakijali sana afya zao na wamekuwa wakitafuta namna ya kutengeneza au kula zaidi vyakula vya asili kuliko vya kwenye makopo.
Na najua humu ndani watu wengi wana utaaalamu tofauti wa kuandaa vitu hivyo, sasa nilikuwa naomba kama kuna anaeweza kunisaidia kuandaa smoothies za aina mbali mbali, hasa kwa wale wanaotaka kupungua uzito so wazitumie kama mbadala wa chakula hivi.
Nitashukuru