Smile digital stationery, faraja mpya

Smile digital stationery, faraja mpya

Smile Digital Stationery

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2024
Posts
202
Reaction score
317
Nyakati zinabadilika, kuna baadhi ya watu muda kwao ni mchache sana wakati huohuo majukumu ni mengi.

Nimeamua kuwaletea hii huduma ya SMILE DIGITAL STATIONERY ili kuwarahisishia wale ambao Hawana muda wa kwenda kukaa nusu saa, lisaa au masaa stationery kwaajili ya kuchapa na kusubiria kazi zao.

Sasa utakachohitajika kufanya ni kuchukua namba hapo kwenye Tangazo na kunifuata whatsapp na kunipatia kazi yako kwa kunitumia whatsapp, either kwa picha au voice note. Kisha nitaikamilisha kwa harak na kukutumia sample uikague na ukisharidhika nayo utatumiwa Original ya kazi yako. Na nakuahidi kuwa "HUDUMA ZETU ZITAKUFANYA UTABASAMU" ☺️

Gharama ambazo ungetumia kusafiri, kuweka pikipiki mafuta uifuate huduma sehemu ilipo Stationery sasa ukiwa ndani kwako bila kutoka utaikamilisha kupitia "SMILE DIGITAL STATIONERY" bila wasiwasi.
NB: Tuna uzoefu wa kazi za Stationery na tunafahamu miiko na masharti ya hii kazi ikiwemo Kulinda na kutunza siri ya kazi za wateja wetu.

BEI ZETU NI NAFUU SANA
(((NYOTE MNAKARIBISHWA)))
 

Attachments

  • BUSINESS LOGO.png
    BUSINESS LOGO.png
    201.2 KB · Views: 23
  • brochure 12.png
    brochure 12.png
    965 KB · Views: 27
Back
Top Bottom