Tigo ndo competitor Mkubwa wa Smile kwa sasa na Kampita mbali sana maana ame Cover Mikoa zaidi ya 7 mpaka sasa wakati Smile miaka yote hii wamebaki sehemu fulani ya DSM na Atown.
Watu pia bado wanaitaji awareness Kuhusu 4G
Ila Juu ya yote bado Internet zao ni Ghali sana wa matumizi ya mtu wa kawaida
Wateja wa smile ni kama wa apple, ni watu fulani hata uwaambie nini hawaelewi itachukua muda mpaka kuja kumtoa huyo jamaa juu.
Pia tigo nilitumia 4g kwa kifurushi cha 3g kuna mwengine anaweza kufanya kama hivyo?
na ukapata speed za 4g??
Naomba msubiri TTCL itapoleta 4G kwa bei chee zaidi.. Wakazi wa Dar kaeni tayari maana by December katikati mtaona mabadiliko makubwa. WIFI points za 4G zitatolewa pia na TTCl, mwendo wa HAPA KAZI unakuja na full revolution.
Stay tuned, be on the watch out.
Ndio FDD band 20 ndo wanatumia Tigo na SmileMkuu kifaa chenye band izi kinaweza kusoma 4G LTE network?
GSM 1800, GSM 1900, GSM 900, GSM850 (GSM800), LTE FDD BAND 1, LTE FDD BAND 20, LTE FDD BAND 3, LTE FDD BAND 7, LTE FDD BAND 8, LTE TDD BAND 38, WCDMA FDD Band I, WCDMA FDD Band VIII
Ndio FDD band 20 ndo wanatumia Tigo na Smile
Ila speed ya tigo ni kwa dar es salaam tu mikoani haipatikani
Tigo ndo competitor Mkubwa wa Smile kwa sasa na Kampita mbali sana maana ame Cover Mikoa zaidi ya 7 mpaka sasa wakati Smile miaka yote hii wamebaki sehemu fulani ya DSM na Atown.
Watu pia bado wanaitaji awareness Kuhusu 4G
Ila Juu ya yote bado Internet zao ni Ghali sana wa matumizi ya mtu wa kawaida
Angalia Post #16 nimeweka Picha na Mbeya haipoMikoa 7? Naomba kujua mbeya imo kat ya hiyo 7?
Bands za smart ni zipi?Ni kweli kabisa ila mpaka sasa smart naona ndio cheapest kwa wote ila sasa miundombinu aliyokuja nayo naona ni shida kwa watu wengi na pia hawajatoa elimu ya kutosha kwa wateja wao wapya, watu wananunua simcard za 4G wanaweka kwenye 3G smartphones, ukijumlisha na issue za bands ndo kabisa watu wanapoteana.