Mafwi Munda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 1,750
- 1,605
Lile chungu la kukaangia makinikia, li smelter vipi tena kimya?! Makinikia yataoza jamani, naogopa wasije wakayakuta makontena bandarini hayana mwenyewe kama vichwa vya Treni.
Sijui vile vikao vya siri vilizaa nini?!
Sijui vile vikao vya siri vilizaa nini?!