Smartphone

chokambayaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
548
Reaction score
74
Habarini wana jamvi

Nataka kuja Dar miongoni mwa mambo
yanayonileta huko ni kununua smartphone
original yenye Memory ya GB 8 na kuendelea
OS iwe android 4.1 version
camera 8pixes

Fedha nliyonayo shs 400,000 haizid hapo
sasa nnachowaomba munielekeze duka la smartphone original lakini bei nzuri
ili na mimi nijimwae mwae na habari za ulimwengu katika kiganja changu

Nawasilisha
 
Dooh Laki 4 kwa smartphone uliyotaja specs sake!. Sijui. Ngoja wataalam waje humu, tutapata habari yake.
 
Tecno Phantom A+

Simu poa sana.
Internal memory 4GB,
RAM 1GB
EXTERNAL SD 8GB
ANDROID V4.2
8MP BACK CAMERA

BEi inarange kwenye Tshs 400000-450000
 
Tecno Phantom A+

Simu poa sana.
Internal memory 4GB,
RAM 1GB
EXTERNAL SD 8GB
ANDROID V4.2
8MP BACK CAMERA

BEi inarange kwenye Tshs 400000-450000

Namshauri Mkuu. chokambayaa asisikilize ushauri wako kwani kwa upande wa camera Tecno wakikwambia 8 mp,ujue ni 4 mp..nna ushahidi wa hilo.. Old Skuli
 
Last edited by a moderator:
kaka unachofanya wewe ni kuforce mwisho was siku utapata simu kimeo. sababu opportunity cost ya kupata storage kubwa na camera ya maana ni processor ndogo na ram isiofaa.

kwa hela Hio hutapata android nzuri kama moto g. choice ya internal 16gb au 8gb (bila memory card. camera 5mp android 4.4 kitkat, kioo cha HD chenye ukubwa wa 4.5. INA ram 1gb na processor 1.2 ghz cortex a7 quadcore

Namshauri Mkuu. chokambayaa asisikilize ushauri wako kwani kwa upande wa camera Tecno wakikwambia 8 mp,ujue ni 4 mp..nna ushahidi wa hilo.. Old Skuli

Mkuu Somji Juma u seem to believe on Internet spread-hoax about Tecno.Mfano hii simu inasemwa Sio Quadcore,kwamba ni duocore.
Huo ubishi unaweza testiwa kwa CPU-Z and tell the result.
Sasa wewe huo ushahidi wa Camera unao upi??
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Somji Juma u seem to believe on Internet spread-hoax about Tecno.Mfano hii simu inasemwa Sio Quadcore,kwamba ni duocore.
Huo ubishi unaweza testiwa kwa CPU-Z and tell the result.
Sasa wewe huo ushahidi wa Camera unao upi??

unapiga picha halafu unaenda properties kuangalia resolution hapo utajua megapixel kama unayo piga halafu lete feedback tutajua
 
Last edited by a moderator:
Yaani ndo mnachanganya kabisa nimebakia njia pand
Ila Teckno sizipendi japo sina sababu ya kuzichukia nahic zimekaa kichina china mmno
 
Kwahiyo Mkuu Chief - Mkwawa niongeze bei gani kwa hiyo Specs?
 
s2 plus unapata kwa laki 4

internal 8gb
ram 1gb
camera 8mp
os android 4.1

S2 unamaanisha samsung s2, naipata kwa duka gani huko mjini
au Kariakoo wasije nchakachua na feki maana ngumu kuzitambua
 
Mkuu pale kuna maduka mengi jaribu kufafanua, au tupe jina la duka.
 
chief-mkwawa, nawataalamu wa smartphone mabandiko yenu yamenisaidia sasa nataka kufanya uamuz...ila mnisaidie tena hizi simu za clone perfomance yake ni kama original? Vipi durability yake? Nawasilisha
 
.
Si umesema hupendi simu za kichina china sasa mbona kige geu?
.
We kanunue S2 kulingana na pesa yako
au ukishindwa sana nunua ya VODAFONE kwa laki moja
laki 3 itakayo baki unga vifurushi mpaka uchanganyikiwe!
 
chief-mkwawa, nawataalamu wa smartphone mabandiko yenu yamenisaidia sasa nataka kufanya uamuz...ila mnisaidie tena hizi simu za clone perfomance yake ni kama original? Vipi durability yake? Nawasilisha

nna clone moja S4 njoo na laki mbili tu mkuu balance unafanyia mengine mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…