Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Rural Swagga

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,579
1,081
Habari za jioni,Nina kama shilingi za kitanzania 350,000/= je ni simu gani nzuri ya Android ambayo naweza kupata kwa pesa hii ama chini ya hapo.

Habari za jioni,Nina kama shilingi za kitanzania 350,000/= je ni simu gani nzuri ya Android ambayo naweza kupata kwa pesa hii ama chini ya hapo.
simu za Samsung sio mbaya sana kwa hela hiyo, utapata simu nzuri sana! Sony experia pia zipo bomba sana! Ama chukua mzigo wa HTC ule maisha! Ila ukiweza kuongeza laki u nusu saaaafi upate kitu mithili ya laptop!
 
kwa sasa kidogo bajet yangu haijakaa vizuri>>niko na kiasi hicho tu mkuu...HTC gani naweza pata naomba unitajie aina mkuu nitashukuru sana
 
Tumia pantech pocket ni nzuri sana 4g speed na ni made in Korea . Kama unaitaka nipm nikuelekeze kwa kununua
 
chief-mkwawa Nimefanikiwa kupata HTC Sensation XE.. second hand from UK tatizo limebaki Ku-unlock Network>>>Nimesikia mtaani wanafanya kuanzia 15000 nipeni maujanja wadau niweze unlock mwenyewe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…