Smartphone with 4.0 ics and a better camera...

Smartphone with 4.0 ics and a better camera...

Northern Lights

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
412
Reaction score
372
Ndugu wanajamvi jukwaa hili limekuwa ni msaada sana kwangu kwenye mambo mengi
Naitaji maoni na ushauri wenu juu ya hili
Kwasasa natumia SAMSUNG GALAXY ACE(5830i) ila ningependa kuadvance zaidi maana napendelea sim ambayo ni multipurpose kwa maana ya camera+browsing. Nataka simu(HTC, SONY,HUAWEI,SAMSUNG) yenye atleast Ice cream, >4GB internal storage, 8MP camera na budget yangu ni 400,000/ Tsh.
Naomba kuwasilisha kwenu
 
Asante mkuu kwa mchango wako, unaweza nielekeza duka ambalo ntapata S2 ambayo ni ORIGINAL maana cku izi nyingi ni za kuchakachua(FAKE)
 
Asante mkuu kwa mchango wako, unaweza nielekeza duka ambalo ntapata S2 ambayo ni ORIGINAL maana cku izi nyingi ni za kuchakachua(FAKE)

Maduka mengi yanauza galaxy...labda ungeuliza jinsi ya kutambua fake na original.!!
 
galaxy s2 plus ndio itakayokufaa maana inakuja na android 4 toka kwenye box.
 
Asante mkuu kwa mchango wako, unaweza nielekeza duka ambalo ntapata S2 ambayo ni ORIGINAL maana cku izi nyingi ni za kuchakachua(FAKE)
sijui duka gani linauza s2 original but kuna jamaa humu anadeal na smartphone karibia zote( Godfrey
Electronics Online Sales ).so unaweza kuwacheki na ujichagulie itakayokufaa
 
Mkuu Chief-Mkwawa unaweza kwenye kuipata hyo bidhaa kwa kunipa maelekezo jinsi ya kutambua ORIGINAL na pia upatkanaji wake
 
Back
Top Bottom