Smartphone sasa balaa

Smartphone sasa balaa

Zinapunguza wateja mahotelini kwenye mabaa kwa kuwa mtu afikapo anakaa tuu anaanza kuchati mara Whatsapp,kisha Facebook, alafu instagram, anamalizia na Jamiiforums ndo unasikia niletee mchemsho, akimaliza kula anaanza tena kuchati weee,

Inaudhi sana hata kwenye usafiri mtu hakuna hata kubadilishana habari au maongezi jitu linakaa linaanza na kuchati tuu, tena zaleta ajali pia kuweni makini.
Yamekukuta?
 
kwa bahati mbaya umekaa na watu mnakula sasa kila mmoja yupo bizee na smartphone lake anachati sijui whatsap sijui facebook, sasa maskini ya mungu wewe na nokia lako latoch na wewe unaanza kubofya bofya kwanza unaangalia nani hajakupigia muda unafuta namba lake unaanza kufuta mamesegi, sihauna kitu ingine ya kufanya sasa unaanza kubadilisha milio ya simu miliyo yenyewe ni makelele tu yaleyale yaliyopo kwenye nokia la tochi unasumbua watu bureeee
 
Hata ukiingia na kitu Kwenye rum kwa kazi ya kikubwa ni shidaaa.eti subiri kwanza nicheki whasp,duh mwingine kwa hasira anakodoa macho weee.hata morali inashuuuka.kama huyo anaesoma hii jf muda huu mwone kwanza
 
Nimeisoma hii nipo kwenye hiace hapa...nipo busy na jamiiforum tuuu hapa..
 
Kama leo mwenge kuna bi dada mmoja alikuwa anachat amevaa earphones huku anavuka barabara, ilikuwa bado kidogo agongwe na Scania
 
Kwenye familia ndo shida baada ya kaz nyumbani baba yuko bize na smatphon mama ndo hashkiki anasahau hata kupika!!mwe mwe mweh!
 
Hahahahhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ilikuwa hatari best
sasa ulifanyaje ulijifunika pua au?
mambo ya kulala safarini kuna mzee nilikaa nae siti moja alitoa ushuzi wa hatari hadi siti za jirani wakasikia, ilikua kisanga kwenye basi watu wanataka kucheka ushuzi unanuka wanabaki kugugumia tumboni.
 
Mm mwenyewe jana niliunguza mboga kisa niko kwenye smart sitaki nipitwe na mambo haya usemalo best ni sahihi hizi smartphon ni shida sana
kwenye familia ndo shida baada ya kaz nyumbani baba yuko bize na smatphon mama ndo hashkiki anasahau hata kupika!!mwe mwe mweh!
 
ni shida new world order mkiabiwa sasa hivi kila goti litpigwa kwa shetan mnabisha...! taratibu hapa wajinga ndiyo waliwao ata ufanisi wa kazi maofisini umepungua hakuna concetration ya kazi. kazi zina a lot of errors.

kwenye ka simu kangu kunabiblia na huwa naisoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom