Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Kwani zimekuja lini?
Jibu swali kwanza
Kwani zimekuja lini?
Mwee wengine hatupendagi mastory na MTU kwe gari salaam baas nipo bize na sim yangu safari yenye unaona fupi !!
umeona eeeh ingawa unajikosesha fursa ya kupata marafiki, new idea kama safari ni ndefu
Nlishawahi kuitupa simu ya mpenzi wangu dirishani kwa ujinga kama huu
Marafiki nilonao wananitosha wala sitakagi MTU anisumbue .
Ukute mwingine ananuka mdomo sasa akianza kukupigisha story majanga!!!
hahahahhaa lol inatokea lakini ukiona haeleweki unajikita busy
Bestito, si ungekuja faragha tukaongea jamani...
..unajuaje kama hapa nimeongelea kwa ujumla...!!
Marafiki nilonao wananitosha wala sitakagi MTU anisumbue .
Ukute mwingine ananuka mdomo sasa akianza kukupigisha story majanga!!!
Khaaaa.....huu ubabe huu
kuna basi za Dar Mwanza zinaitwa Isamilo humo ndani kuna huduma kabisa ya chaji...yaani watu ni bize na simu tuu
Zinapunguza wateja mahotelini kwenye mabaa kwa kuwa mtu afikapo anakaa tuu anaanza kuchati mara Whatsapp,kisha Facebook, alafu instagram, anamalizia na Jamiiforums ndo unasikia niletee mchemsho, akimaliza kula anaanza tena kuchati weee,
Inaudhi sana hata kwenye usafiri mtu hakuna hata kubadilishana habari au maongezi jitu linakaa linaanza na kuchati tuu, tena zaleta ajali pia kuweni makini.

yaani mm sasa kama nasafir kwenda mwanza nachat weweeeeee mpaka nafika kwani naona ni bora nichat kuliko kulala usingizi huku ukiota ndoto za mchana
heeeee besti kwa hiyo hata mm unanikataa kura rafikiyo?
Smartphones kama ugonjwa vile kwa waafrika. Naamini tutakuja kuzizoea baadae kidogo.