Smartphone sasa balaa

Smartphone sasa balaa

WELCOME TO THE
📍 21ST CENTURY!!! 📍
*Our Phones ~ 📲 Wireless

*Cooking ~ 📛 Fireless

🚗 *Cars ~ 🔑Keyless

🍔 Food ~ 🍝 Fatless

🚇 Tyres ~ ⚪ Tubeless

*Dress ~ 👗 Sleeveless

👬👬👫 Youth ~ 📝 Jobless

*Leaders ~ 👎 Shameless

Relationships 👥Meaningless

*Attitude ~ 👤 Careless

💘 Feelings ~ 💔 Heartless

📖 Education ~ ✖ Valueless

📲 Mobile comes
📷 Camera gone

📲 Mobile comes
⏰ Wrist Watch gone

📲 Mobile comes
🔦 Torch gone

📲 Mobile comes
📻 Radio gone

📲 Mobile comes
🔊 MP3 gone

📲 Mobile comes
📝 Letters gone

📲 Mobile comes
📟 Calculator gone

📲Mobile comes
💻 Computer gone

📲 Mobile comes
🙇 Peace of mind gone

.....🎩
@ 👀👂
( 👃 )
\ 👅 /
✋🎽c👍
👖 by
/ \
👞👞

People getting mental 😔
&
Phones getting Smart
 
Smartfon ilinisaidia sana kutafuna mabebeez watamu, enzi hizo hazijawa yebo yebo...

Saivi habari ya mjini ni liverossa tu...

upgrade kijana bado uko kwenye verossa!
 
Alisemaga Albert Einstein itafika wakati technology itapunguza human interaction
 
hahahahhhhhaaaaaaaa kumbe unaye nilidhani :A S-eek::A S-eek:
Kuna ukweli, hizi smartphone zimepunguza sana one-on-one interaction. Ukienda sehem unaweza kukaa pekeyo hamna wa kuongea nae coz everyone's busy with their phones. Wakati mwingine umekaa na mwenza wako, ukitegemea muongee constructive issues yeye ni busy na sim.
 
Mmekutana out mbadilishane mawazo, yeye Ana chat. Nakucheka peke yake! Ukimsemesha anaona kama unamkata stimu.
 
Ckuiz kila mtu Full time kuchart mpaka maofisini,tena zinamaliza Vocha ni kwamba hatugundui unaeza kujikuta kwa mwezi unatumia hela nyingi kuweka vifurushi. All at all zitumike constructively kama kuperuzi habari muhimu, kutafuta fursa mbalimbali kama ajira kuliko kutumia kwa mambo yasiyo ya msingi muda wote!

aisee kweli kabisa
yaani hapa kuna mtu ananiambia "mama j kwa simu "
 
Zinapunguza wateja mahotelini kwenye mabaa kwa kuwa mtu afikapo anakaa tuu anaanza kuchati mara Whatsapp,kisha Facebook, alafu instagram, anamalizia na Jamiiforums ndo unasikia niletee mchemsho, akimaliza kula anaanza tena kuchati weee,

Inaudhi sana hata kwenye usafiri mtu hakuna hata kubadilishana habari au maongezi jitu linakaa linaanza na kuchati tuu, tena zaleta ajali pia kuweni makini.

Na hawa nao tunawaweka kundi lipi?
 
Attachments

  • 1408694201508.jpg
    1408694201508.jpg
    57 KB · Views: 240
Zinapunguza wateja mahotelini kwenye mabaa kwa kuwa mtu afikapo anakaa tuu anaanza kuchati mara Whatsapp,kisha Facebook, alafu instagram, anamalizia na Jamiiforums ndo unasikia niletee mchemsho, akimaliza kula anaanza tena kuchati weee,

Inaudhi sana hata kwenye usafiri mtu hakuna hata kubadilishana habari au maongezi jitu linakaa linaanza na kuchati tuu, tena zaleta ajali pia kuweni makini.

Labda kwa mtu ambaye hajui nini maana ya kutafuta chapaa,mimi natumia smartphone kusaka chapaa,chat kwa ajili ya ngawira and not otherwise,
 
ni kweli kabisa social network imekua ant social mana skuiz mkiwa zaidi ya wawili ni shiiida utakuta no stories kila mtu na lismartphone lake.
 
Kuna ukweli, hizi smartphone zimepunguza sana one-on-one interaction. Ukienda sehem unaweza kukaa pekeyo hamna wa kuongea nae coz everyone's busy with their phones. Wakati mwingine umekaa na mwenza wako, ukitegemea muongee constructive issues yeye ni busy na sim.

Nlishawahi kuitupa simu ya mpenzi wangu dirishani kwa ujinga kama huu
 
Zinapunguza wateja mahotelini kwenye mabaa kwa kuwa mtu afikapo anakaa tuu anaanza kuchati mara Whatsapp,kisha Facebook, alafu instagram, anamalizia na Jamiiforums ndo unasikia niletee mchemsho, akimaliza kula anaanza tena kuchati weee,

Inaudhi sana hata kwenye usafiri mtu hakuna hata kubadilishana habari au maongezi jitu linakaa linaanza na kuchati tuu, tena zaleta ajali pia kuweni makini.

We unasema baa... Nyumbani nako hivo hivo.. Kuanzia mama hadi watoto.. Siku hizi home MA-FLAT SCREENS hayana kazi....

Sasa mtu anayetoka kwenye familia ya aina hiyo, ndo anakuwa mlalamikaji sana kwamba huyu anaongea sana yule anaongea sana... kumbe yeye ndo yupo kimya sana kwa sababu ya ma IPAD, IPOD, magalaksi, au makorokocho ya aina hiyo
 
Nadhani ni mind set tu ya mtu on the use of smartphone.

Nashukuru Mungu naweza kujicontrol
 
hahahaha utakuta mtu anakula mpo nae, ye anamkaribisha mtu wa mbali kwa watsap et "karibu tule beby" , beby mwenyewe yupo dar nyie mliokuanae tanga, tena meza moja mnabaki kutoleana mimacho tu....

Sipendagi aiseee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom