Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,354
- Thread starter
- #21
Kabisa mkuu haya ma group haya kuna ma crush sijuii wa olevel chuo lazima usaidiweMbaya zaidi imeongeza maasi, unajua unaweza kuwa na mkeo/mpenzi wako halafu akawa anachati na mchepuko wake mkiwa wote hata kama ni kitandani ?, ukitaka jaribu kumuomba simu mwanamke mara uobnapo yuko busy, aisee hawezi kukpa mara moja atachukua muda na ujue hapo ana delete meseji za ovyo, au anajifanya kukuambia subiri kidogo, ukitaka kumuweza wewe mnyang'anye tu uone alichokuwa nafanya utashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app