Smartphone ni kaburi la undugu!

Smartphone ni kaburi la undugu!

Yudatade Edesi Shayo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
2,903
Reaction score
4,354
Leo kuna mjomba wangu amekuja kutoka bukoba,yeye ni dr sasa baada ya mapokezi tukaenda sehemu kupata moja moto moja baridi,tumefikaa baada ya kuagiza vinywaji ..do naona katoa smart phone yake mwanzo mwisho ana peruzii daaah,kumbuka sijamuona kama miaka 3 hivi,ukijaribu hata kuchomekea vp yumbani wapi?busy anaperuzi tu aise hizi simu siyo nzuri na mimi nikaamua kuingia jamii forum ,tumebaki tunaangaliana tu
 
Kweli kabisa! Ila ni kujiendekeza tu! Me kuna hommie wangu mmoja Jana nmekaa nae,tukaweka simu pembeni,tukapiga stori weeeee Kama masaa manne hivi,badae ndo tukachukua cm,na kuanza kujibu texts tu.ilikuwa ni kupiga na kupokea tu
 
Mkuu mlifanya la maana sana,yani tumekaa kaa kam masaa matatu hivi,maneno tuliyoongea hayazidi 30,siyo tamaduni zetu kabisa
 
Zamani mgeni aliyetoka mbali alikua akifika anaandaliwa chakula mnapiga stori mpaka za idadi ya mbuzi wenye mimba aliowaacha kijijini ila siku hizi breki ya kwanza anaulizia USB charger huyo akikaa hapo mpaka mnaagana kulala
 
Leo kuna mjomba wangu amekuja kutoka bukoba,yeye ni dr sasa baada ya mapokezi tukaenda sehemu kupata moja moto moja baridi,tumefikaa baada ya kuagiza vinywaji ..do naona katoa smart phone yake mwanzo mwisho ana peruzii daaah,kumbuka sijamuona kama miaka 3 hivi,ukijaribu hata kuchomekea vp yumbani wapi?busy anaperuzi tu aise hizi simu siyo nzuri na mimi nikaamua kuingia jamii forum ,tumebaki tunaangaliana tu
Ni kweli Mkuu zimepunguza hata mapenzi Kwa jamii mnaweza kaa watu watano na msiongee au kujadili jambo la maana zaidi kila mtu ametoa cm yake anaperuzi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati tulikutana classmates.

Wakati tumekaa, watu wakaanza kutoa simu na kuanza kuchat kwenyr group hilohilo.

Nikaona huu ni utaahira, nikaaga nikasepa zangu.

Smartphones zimekuja ila wapokeaji wamepokea tofauti na ilivyotakiwa kuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hiyo siku nilishangaa sana!!hata mimi kuna siku nimekutana na mwana naona yuko busy na simu kuangalia kwenyw group ana chata halafu akaniuliza kupitia kwenye grouo hivi wewe unaonaje hilo swala??daaah nikabaki kucheka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Mkuu zimepunguza hata mapenzi Kwa jamii mnaweza kaa watu watano na msiongee au kujadili jambo la maana zaidi kila mtu ametoa cm yake anaperuzi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mume na mke yani mko pamoja huyu ana chat kwenye group la shule wewe la kazini ajabu kabisa wakati ni muda wenu wakupanga yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kweli mkuu kuna jamaa yangu kashakuwa addicted kabisa. Kuna kipindi alipoteza smartphone yake jamaa alikuwa mgonjwa na siku hiyo hata kula alishindwa, Kesho yake hakuremba alienda kununua smartphone nyingine.
Huyu hatuchekani
 
Yani hiyo siku nilishangaa sana!!hata mimi kuna siku nimekutana na mwana naona yuko busy na simu kuangalia kwenyw group ana chata halafu akaniuliza kupitia kwenye grouo hivi wewe unaonaje hilo swala??daaah nikabaki kucheka

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifurahisha, yaani mtu mmekaa nae halafu anakuuliza kwa kukutumia ujumbe wa simu ?., ulimjibu ?
 
Hata mume na mke yani mko pamoja huyu ana chat kwenye group la shule wewe la kazini ajabu kabisa wakati ni muda wenu wakupanga yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaidi imeongeza maasi, unajua unaweza kuwa na mkeo/mpenzi wako halafu akawa anachati na mchepuko wake mkiwa wote hata kama ni kitandani ?, ukitaka jaribu kumuomba simu mwanamke mara uobnapo yuko busy, aisee hawezi kukpa mara moja atachukua muda na ujue hapo ana delete meseji za ovyo, au anajifanya kukuambia subiri kidogo, ukitaka kumuweza wewe mnyang'anye tu uone alichokuwa nafanya utashangaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom