Smartphone manufacturing in Kigali Rwanda

Smartphone manufacturing in Kigali Rwanda

Hivyo ndivyo nilivyokua nimelewa lkn kwa sababu mwl Kashasha umekuja nashukuru kwa ufafanuzi.

'This is the first smartphone manufacturer in Africa,” Thakkar told Reuters after touring the company alongside Rwanda’s President Paul Kagame.

Companies assemble smartphones in Egypt, Ethiopia, Algeria and South Africa, but import the components, he said.

“We are actually the first who are doing manufacturing. We are making the motherboards, we are making the sub-boards during the entire process,” he said. “There are over 1,000 pieces per phone.”
Wamesema wana-manufacture ila kuna namna tu wamekuuuuuza mambo, je ni components zote wanatengeneza au baadhi? Hao Mara Group hyo investmemt ya $24 Mil is a stupid joke, wamepataje technology au hata kugharamia patents za kukodi, then ije kutengeneza semiconductors, memory chips, displays, lithium batteries from scratch!!!

Inahitaji billions of USD in capital sio level za kiwanda cha viatu au asali, plus kwa soko lipi hapa Africa? Hata behemoth kma Apple Inc. hafanyi hiyo miujiza wanayofanya Rwanda.

Ila still, kutoka moyoni nawapongeza Rwanda kwa uthubutu. Its very promising.
 
Sawa mzee baba hapo nimekusoma.

Nimeona sehemu wameandika mwezi wa 1 mwakani kuna kuna Co. ya belgium inataka ku set-up robots shop(mambo ya artificial intelligence)-
operational robots in different segments of daily life; hospitals, retailers, hotels, etc) huko Kigali naona ni mwendo wa science.

Back
Top Bottom