kama ipi mkuu nambie!.
Na mimi natafuta Samsung note 1
Tafuta tsh 97000/= nikupe simu nzuri kwa bei chee nina shida na hela now! Ntafute kwa namba hizi hapa 0766475414.
Karibuni!
Habar!
Ninayo 50,000/=
Nahtaji smartphone used yeyote ile touch screen!
Nichek kupitia 0713535562/0684036862
Nipo Dar,
Kama huna usi-comment plz!.