SmartPhone gani inakaa na chaji muda mrefu

Unamnunulia simu gharama kesho unamuona ana simu ingine ya tecno ya 45,000 ukimuuliza ile Android ikowapi? Anakwambia kaiazima dada, kumbe kapokonywa na dume mwingine maana yule alimuuliza kuwa hii simu ya Android kakununulia nani? Sasa demu akawa anajikanyaga so jamaa akaichukua.
 
Hakuna Smartphone inayokaa na chaji siku mbili 48 hrs toa hiyo fikra.



Acha uongo Wewe, Lenovo P780 inakaa na charge hadi Sikh 4 ukitumia line 1 na siku 3 ukiweka line mbili. Ukubwa wa betri yake ni 4000mAh, ukiacha hiyo pia kuna Phillips W86000 inakaa mpaka siku 5 ,ukubwa wa betri yake ni 5600mAh .

Sema kwa bei hiyo ya mleta hoja itabidi akomae na Tecno tu.
 
Maana nimeona like pekee haitoshi nashukuru kiongozi kwa ujumbe maridhawa kabisa kwa kijana huyu,

Pamoja sana kiongozi maana lazima tutoe tahadhari kwa vijana hasa wa kileo kwani anaweza akajikuta anawanyima haki wanaostahili, anampa girlfriend na baadaye akapigwa chini akabaki kujuta. waschana wenyewe wa kileo hawa wa 50/50
 
ujue smartphones kile kioo kinakula sana chaji. ukiongeza na applications zinazo run. internet 3g. ndio kabisaa.
 
Kwa hiyo unamnunulia simu afu kesho akitumia kuchepuka nakufanya mawasiliano na jamaa zake unakuja tena kutaka ushaur jinsi yakumpora hiyo simu
 
kuna lenovo ni mwisho mpaka siku tatu ndo unachaji
 
hizo zinazokaa na chaji siku 3 uongo labda km huingii internet au unaingia na kutoka
 
hizo zinazokaa na chaji siku 3 uongo labda km huingii internet au unaingia na kutoka

Ndio mkuu hizo siku 3 inabidi uingie na kutoka kwenye huduma ya intanet ila huduma za kawaida inazidi hata hizo 3
 

Talk time Up to 43 h (2G) / Up to 25 h (3G)
 
Girlfriend anatakiwa awe na simu hata ya kukuzidi wewe mwenyewe sasa unataka simu ya 125,000 kamununulie TECNO
Kama unampenda kamnunulie Lenovo smartphone

Lenovo zinapatikana wapi na kwa bei gani mkuu?
 
chief-mkwawa hii lumi 1520 inapatikana kwa bei gan.?
 
Last edited by a moderator:
Neno 'smartphone' (Kati ya maana nyingine) linamaanisha pia Simu isiyotunza charge.......aaah!!! Mnunulie Nokia ya tochi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…