SmartPhone gani inakaa na chaji muda mrefu

SmartPhone gani inakaa na chaji muda mrefu

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
26,655
Reaction score
38,328
Samahani wadau,

Nataka kumnunulia girlfriend wangu simu, lakin sijui nimnunulie simu gani ya smartphone inayo kaa na chaji angalau siku 2, na yenye gharama isiyozidi Tsh 125,000?

Au simu gani nyingine yenye hadhi kidogo isiyozidi hiyo bei?

Asante!
 
Nunua HTC ONE MINI unakaa na chaji safi sana ila andaa laki bane flani
 
S3 chkua hata wifi yak nmeshamnunulia hii inakaa saana na chaji.
 
Kamnunulie baba au mama yako upate thawabu kijana, acha kupoteza nguvu zako kwa girlfriend halafu kesho na keshokutwa mnamwagana unaanza kujuta. Kama ni mkeo sawa lkn siyo girlfriend. Au km vp hiyo hela peleka msikitini au kanisani
 
Asante mkuu..
Lakini wazazi kwangu ni first,,kwa hiyo kumnunulia girfriend simu siyo kwamba wazazi siwajali!
 
Samahani wadau, nataka kumnunulia girlfriend wangu simu, lakin sijui nimnunulie simu gani ya smartphone inayo kaa na chaji angalau siku 2, na yenye gharama isiyozidi Tsh 125,000?
Au simu gani nyingine yenye hadhi kidogo isiyozidi hiyo bei?
Asante!

sijawahi kuona smartphone yenye kukaa na chaji siku mbili, labda kama hautumiki. hiyo 125,000 ni ndogo sana kwa smartphone nzuri, labda ujaribu zile za promo tigo na voda.
 
Samahani wadau, nataka kumnunulia girlfriend wangu simu, lakin sijui nimnunulie simu gani ya smartphone inayo kaa na chaji angalau siku 2, na yenye gharama isiyozidi Tsh 125,000?
Au simu gani nyingine yenye hadhi kidogo isiyozidi hiyo bei?
Asante!
  • Ongeza tsh tsh 5'000 yaani uwe na tsh 130'000
  • Ili Uchukue ASCEND Y330 [kwenye maduka ya tiGo] hii itakaa na chaji kwa hizo sikumbili iwapo tu 3g ipo off na uantumia 2g network pekee
 
Kwan hakuna umeme huko? Kuna kitu kinaitwa power bank siku hizi, mnunulie na hiyo.
 
Haaaaaaaaaaaa waniangusha sasa, mie mwenyewe mafia risiti tu wala usihofu, sema tukazilie ubuyu na kachori au niaje,hofu ondoa maana kwa michambo mie mwenye PhD imelela ya michambo tu teh teh!
Ahhhhha ukiulizwa risiti me naogopa manake ntachambwa peupeeeee
 
Back
Top Bottom