Smartphone ambayo iko Transparent yazinduliwa

Tatizo watu hawasomi, mtu anaona tu picha anakurupuka, source yake ina maelezo yote
 
Tatizo watu hawasomi, mtu anaona tu picha anakurupuka, source yake ina maelezo yote

Mkuu Unaeza Kuta Na Ww Unakurupuka kuwahukumu watu... hyo Source immewekwa jana Ila post Hii ina Siku Kadhaaa.... Hao Watu Hawaku kurupuka .. Maana Source Haikuepoo
 
mkuu ni prototype hata source yako inasema hvo so umekosea kusema imezinduliwa

Ni kweli mkuu hata wakati napost hiyo siledi nilikuwa naharakisha sababu muda wa kuisha bundle zangu ulikuwa umefika ndiyo maana hata sikuonekana tena hewani hadi jana jioni. Pia kwangu mimi kuEdit thread huwa haikubali hivyo nikaiacha kama ilivyo na makosa. Amu sori jamani!
 
Kama wataka kuona ile betri kubwa mahali ilipo subiri Kiteitei atakuelekeza.
 
Tatizo watu hawasomi, mtu anaona tu picha anakurupuka, source yake ina maelezo yote

Then for a reasonable person a picture itself is not relevant as to use the word "yazinduliwa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…