TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,423
- 8,653
Habari wana JF katika tembea zangu kwenye mtandao wa YouTube nimekutana na Video zinaelekeza jinsi ya kufanya kazi ya uwakala kupitia SmartMalipo kupitia simu yako ya SMARTPHONE utapokea commision kila utakapo toa huduma
Kuuza Luku kulipia DST nk...
Je kuna mwana JF yoyote mwenye ushuhuda kwenye hili au usanii?
Kuuza Luku kulipia DST nk...
Je kuna mwana JF yoyote mwenye ushuhuda kwenye hili au usanii?