Sijuagi anafanya nini mjini. Sijawahi kumfatiliza kabisa. Since mmenipa taarifa jana ndio nimeanza kumtazama kwa jicho la 3.
Mimi Nina raha maana hamna anayenijua. Ukija chamba fake I'd kivyako.
Mimi walaaaaaaaaaaaa
Maseratihuwezi jua lakini, kwahyo dyadya mtulivu lakini, una wasiwasi na me??
Na kweli maana naona maluweluwe tuu my ssWe mbembeleze tu P bwana.
Shunie Shunie ShunieKho kho kho kho nina kiu naombeni kinywaji
Na mie auntie yangu mpe msonyo wangu
Inauma uchambwe halafu code yenyewe huijuiBora tusutwe halafu code umeielewa.
Oooh gracias amor lo que está teniendo para el almuerzo? Todavía estoy en la oficinaEs gracioso hahahaaaaaa por cierto estoy a punto de almorzar ..... su bienvenida
Ebu tutafsilie basiHa ha ha ha
WoyoooooWa abroad ndio walichambanaga hapa livelive kumbe walikua wamepangwa foleni
Binti mmoja alikua anamume kumbe kamkana mumewe kajiweka kwa jamaa
mambo yote yakawa hadharani
Akwendwee hukooNdio nini hivi tena jamaan
Tatizo enzi ile zilibamba nyingii
Ya abroad
Ya dada mweupemweupe
Ya uchagani kule
Kuna waliotangaza ndoa
Wengine wakaja kuchambana hapa pakawa hapatoshi
Najuta ujue hivi kwa nini haujanipigia lakini nitamalizaje hizi pages
Naomba savanna ya baridi sana nina kiu ndio naingia ujueShunie Shunie Shunie
Mbona mie nimeilewaInauma uchambwe halafu code yenyewe huijuihauielewi
Hahahah agiza kwa mangi nalipia.Kho kho kho kho nina kiu naombeni kinywaji
seguir esperandoEbu tutafsilie basi