Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Astaghafilulah radhimu.... kumbe smart ni sigara kali humu jf

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
hihihi hii nilipitwa, mimi nna pm toka day 1 nimeingia jf, zamani nilikuwa naentertain pm
ila siku hizi nakemea mapepo ukinizidi uwezo nakemea tu "OUTTTT, I SEND FIRE!!!!"[emoji28] [emoji28] [emoji28]
ukitaka uenjoy jf mambo yote yaishie hapa hapa, huko sirini pm ndio mwanzo wa kukimbia ID
 
na wadada wa humu wambea, vidomo kama chuchunge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,kushadadia sasa
yani mimi ningekuwa mahondaw humu humu tungecheka wote, sijaona cha ajabu hapa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hebu nifukuze mdogo angu leo nakumbushia enzi zangu lol
 
mwanaume malaya huwa hapendi showoff maana anajua unamuharibia asipige mzigo kwa wengine..... kasie alijiharibia mwenyew kwa kumfanyia showoff malaya mie napenda kumuita sigara kali so naona na huyu wa sasa anapita kulekule showoff kibao at the end...........................

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 


Zamani Pm ilikua burudani lakini sasahivi hapana kabisaa
Na vile vijigroup vya umbeaumbea ndio loh sitaki hata kusikia unadhani uko na marafiki kumbe ndio wanafiki waliotukuka
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] smart mambo yake ni ya kutangazana hapa jf, aendelee tu na mahondaw wanapendezana

nasikia soon et wanameremetaa
 
nasikia soon et wanameremetaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiii sasa ndio tutajuta zaidi, itakuwa official le hubby, Mungu awasaidie jf izalishe ndoa, yote yanawezekana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…