Smart Wife

Smart Wife

WANAWAKE WA DOT COM WALA HATASOMA HII maana haiwezekani, hata kama baba yake ni askofu na mama yake ni mchungaji na yeye kazaliwa kanisani, kasoma nasari kanisani, darasa lakwanza mpaka lasaba shule ya kanisa, sekondari shule ya masista.
Shetani anawashambulia sana watoto wa wachungaji
 
Be a smart girl/woman a perfect husband wil come.
I used to be a very smart,advisor,listener,humble girlfriend...but what that mofo did to me kwakweli acha tu tuumizane sahivi
 
Dear sweetheart Galore ,there is no perfect husband anywhere neither perfect wife!We all have our evilness inside us,ila kujishusha ni jambo la muhimu na msingi sana hasa kwa hawa viumbe waitwao wanaume!!Hakuna mwanaume mkali na mwenye hasira kwa mwanamke mnyenyekevu na msikivu!Halafu dawa yao hawa ni wewe kujishusha muda wote,watakunyenyekea mpaka ufurahi na roho yako!!

My love,nilikua mtu mwema sana tena sana kwa mwanaume wangu,nilijishusha mno na nilimpenda hakuna mfano,you know what he did??!!,these people are so ungrateful kwa kweli,labda huko mbeleni nitapata fungu langu lakini kwa sahivi let me just find a perfect one ambae atakidhi vigezo vyangu
 
Tatizo ni kwamba wanalilia hao smart wife na wakiwapata they just take them for granted.

Wanaume hata hawajui nini wanataka.
 
Tatizo ni kwamba wanalilia hao smart wife na wakiwapata they just take them for granted.

Wanaume hata hawajui nini wanataka.
Umeona ehh,huwa wanatuchukulia wazembe sana tukiwa humble kwao
Sahivi jamaa kapata Kurumbembe anaanza kunililia inbox turudiane,acha apate anachostahili
 
Back
Top Bottom