HAHAAAAAA!Wakikugundua umeivaa, watakakukata mkono na kukung'oa macho ndiyo ukome!!
Habari waungwana,
Napenda kushauri kama unaona hauko salama kutokana na hili wimbi la utekaji lililo halalishwa hapa nchini. Napenda kushauri kuwa tununue smart watch (saa za mkononi) ambazo zinauwezo wa kupiga picha na kurecord matukio mbali mbaali.
Kama hizi tetesi kuwa watekaji ni hawa waliosomeshwa kwa kodi za wazee wetu lazima watakuwa wanajua kuhusu hizo saa janja kwahiyo utavuliwa tu.
poa ila nipo dom mkuuNenda posta kaka zipo nyingi tu madukani..
Sasa hawa watekaji wakinusa hii si itakuwa cha kwanza kukata mkono uliovishwa kitu cha smart watch!!Habari waungwana,
Napenda kushauri kama unaona hauko salama kutokana na hili wimbi la utekaji lililo halalishwa hapa nchini. Napenda kushauri kuwa tununue smart watch (saa za mkononi) ambazo zinauwezo wa kupiga picha na kurecord matukio mbali mbaali.
Mkuu umemsikia Hussein Bashe?Watakukata mkono, siyo hata kwa kuivua.
Ila watekaji siyo waliosomeshwa na kodi zetu. Maana ni kikundi cha waharifu wanataka kutumia jina la waliosomeshwa kwa kodi zetu!
Mkuu umemsikia Hussein Bashe?