Smart watch itakusaidia ukitekwa

Inamonga

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
779
474
Habari waungwana,

Napenda kushauri kama unaona hauko salama kutokana na hili wimbi la utekaji lililo halalishwa hapa nchini. Napenda kushauri kuwa tununue smart watch (saa za mkononi) ambazo zinauwezo wa kupiga picha na kurecord matukio mbali mbaali.
 
Kama hizi tetesi kuwa watekaji ni hawa waliosomeshwa kwa kodi za wazee wetu lazima watakuwa wanajua kuhusu hizo saa janja kwahiyo utavuliwa tu.
 
mkuu inamonga hilo duka lipo mtaa gani wenzio tukajipatie na zzaidi ya hiyo saa
Habari waungwana,

Napenda kushauri kama unaona hauko salama kutokana na hili wimbi la utekaji lililo halalishwa hapa nchini. Napenda kushauri kuwa tununue smart watch (saa za mkononi) ambazo zinauwezo wa kupiga picha na kurecord matukio mbali mbaali.
 
Kama hizi tetesi kuwa watekaji ni hawa waliosomeshwa kwa kodi za wazee wetu lazima watakuwa wanajua kuhusu hizo saa janja kwahiyo utavuliwa tu.

Watakukata mkono, siyo hata kwa kuivua.

Ila watekaji siyo waliosomeshwa na kodi zetu. Maana ni kikundi cha waharifu wanataka kutumia jina la waliosomeshwa kwa kodi zetu!
 
Habari waungwana,

Napenda kushauri kama unaona hauko salama kutokana na hili wimbi la utekaji lililo halalishwa hapa nchini. Napenda kushauri kuwa tununue smart watch (saa za mkononi) ambazo zinauwezo wa kupiga picha na kurecord matukio mbali mbaali.
Sasa hawa watekaji wakinusa hii si itakuwa cha kwanza kukata mkono uliovishwa kitu cha smart watch!!
 
Watakukata mkono, siyo hata kwa kuivua.

Ila watekaji siyo waliosomeshwa na kodi zetu. Maana ni kikundi cha waharifu wanataka kutumia jina la waliosomeshwa kwa kodi zetu!
Mkuu umemsikia Hussein Bashe?
 
Mkuu umemsikia Hussein Bashe?

Dr. Kikwete alisema , wauzaji wa dawa wakiguswa nchi itatikisika akaongeza kuwa wapo katika vyama vya siasa, serikalini, viongozi wa dini..... The list goes ahead!!,,,,,
Kwa hiyo sisi wenye akili kubwa tunazidi kuandika majina chini na kuangalia game inavozidi kupedeza!!
 
Habari waungwana,

Napenda kushauri kama unaona hauko salama kutokana na hili wimbi la utekaji lililo halalishwa hapa nchini. Napenda kushauri kuwa tununue smart watch (saa za mkononi) ambazo zinauwezo wa kupiga picha na kurecord matukio mbali mbaali.

Sasa Ben saanane angekuwa Kavaa hiyo saa ingekuwa na Msaada gan kwake? Maana mpaka sasa ingekuwa yeye na saa yake hatujui walipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom