K kidumba Member Joined Aug 16, 2013 Posts 77 Reaction score 79 May 13, 2015 #1 Simu inauzwa LG G2 Tsh 200,000 ina tatizo la network sijaitengeneza wala kupelka kwa fundi nimenunua nyingine kama uko interested karibu ni PM
Simu inauzwa LG G2 Tsh 200,000 ina tatizo la network sijaitengeneza wala kupelka kwa fundi nimenunua nyingine kama uko interested karibu ni PM
Blackman JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 858 Reaction score 343 May 13, 2015 #2 we simu mbovu unauza 200,000? una utani na hela. unalijua tatizo la network linavosumbua? labda lingekuwa lingine.
we simu mbovu unauza 200,000? una utani na hela. unalijua tatizo la network linavosumbua? labda lingekuwa lingine.
hazole1 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 4,319 Reaction score 3,919 May 14, 2015 #3 Uko wapi