Smart! let's talk! Huu mtandao mpya ni balaa, wengine mjipange

Smart! let's talk! Huu mtandao mpya ni balaa, wengine mjipange

Tatizo ni wapi nitapata vocha zao?,nina line yao na nimejaribu maduka na vibanda vingi vya simu hawauzi vocha zao.Inabidi wajipange waendane na changamoto.
 
Tatizo ni wapi nitapata vocha zao?,nina line yao na nimejaribu maduka na vibanda vingi vya simu hawauzi vocha zao.Inabidi wajipange waendane na changamoto.

Max malipo, na selcom zote wanazo vocha zao
 
Wako vizuri, tuache kuwaponda. Sijatumia service yao hata moja lakini technology wanayoitumia ni lazima watasumbua sana Mitandao GIANTS. Upo mtandao mmoja mkubwa wa Simu umeshaanza kupukutishwa wateja wake.

we Ni great thinker kweli? Hujatumia alafu unasema ni mzuri? Fikiria hata Mara 1 na robo kabla huja post..me lain yao ni ninayo niliuziwa pale posta na dada 1 kuja kigambon tuu hamna kitu, Haina lolote..vocha hamna alie niuzie kazima sm hapatikan tena.
 
dah! Hawa jamaa wako vizuri asee. Kwa wale wa 'mahaba niue' huu ndo mtandao wenyu banah! Unaongea kwa 79sh then mpaka sim iishe chaj au sikio liume. Yaani hapa nilipo tokea nimempigia wifi yenyu jana sijakata simu. Tunaongea kama tupo pamoja wajameni.

Karibuni sana wenzangu wa 'mahaba niue'

Nenda huko na mahaba niue yako, usiache mbachao kwa msala upitao, usidharau nazi embe tunda la msimu, just think critically!
 
dah! Hawa jamaa wako vizuri asee. Kwa wale wa 'mahaba niue' huu ndo mtandao wenyu banah! Unaongea kwa 79sh then mpaka sim iishe chaj au sikio liume. Yaani hapa nilipo tokea nimempigia wifi yenyu jana sijakata simu. Tunaongea kama tupo pamoja wajameni.

Karibuni sana wenzangu wa 'mahaba niue'

Kama kwa gharama iyo umeongea muda wote huo tambua kwamba hawa jamaa wako kwenye promotion ili kuvutia wateja sababu mtandao wao bado ni mpya so hiyo ni mbinu mojawapo ya kujipatia wateja na wakishapata wateja wanaowataka gharama zao watazipandisha mpaka utawachukia.Hata Tigo,Voda,Airtel n.k walianza kwa staili hiyo hiyo lakini leo hii wewe mwenyewe shahidi kwa gharama wanazotoza.
 
ImageUploadedByJamiiForums1396977400.616790.jpg

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Line zao zinauzwa 2000 ambapo ubapata muda wa maongezi 1000 na data kwa 30day najua ndiiyo wameanza kwa promo baadaye hali itabadilika ofisi zai zipo mikocheni kwa warioba na morogoro road karibu na jengo la TRONIC kwenye jengo la TFANY HOTEL no za simu 0798798798
 
But the problem with their internet,though fast,works only with 2G.
Wenye 3G hatuna bahati.I tried doing manual network searching,only mitandao mitatu inapatikana kwenye 3G platform bt Smart haip😵verall iko poa kwenye sms and calls.Internet. . . . . . .????hhmmmm!
I saw one thread here saying that this network works on satelitte.Anayejua atufahamishe.
 
Wamekusany std seven na form four kuwapigia promo mtaani.ukiwahoji maswal kuhusu huduma zao unaweza ukaomba kwnda shortkal kdgo.ni majanga tu.
 
Nimeona Tangazo Lao Hapa La Ongea Bure, Wanaotumia Watujuze Ukoje Au Na Wao Kama Wale
 
mwanzoni nilidhani ni mtandao wa kupiga picha!maana kuna tangazo lao la TV naona nikupiga picha tu na si kuongea!!
 
Smart mtandao unaoishia ofisini kwenu tuu, mmeniuzia line kwa mbwembwe nyingi nafika nyumbani hainasi mtandao lol hawana lolote wajipange n wizi mtupu
 
dah! Hawa jamaa wako vizuri asee. Kwa wale wa 'mahaba niue' huu ndo mtandao wenyu banah! Unaongea kwa 79sh then mpaka sim iishe chaj au sikio liume. Yaani hapa nilipo tokea nimempigia wifi yenyu jana sijakata simu. Tunaongea kama tupo pamoja wajameni.

Karibuni sana wenzangu wa 'mahaba niue'

nielekeze jinsi ya kujiunga na iyo smart! let's talk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom