Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Wewe unachinja ng'ombe na badala ya kuwapa watu nyama, unawapa mkia.Smart nini? Iko wapi? Imeanza lini? Usiandike habari ukafikiri kila mtu anaifahamu!
I miss you my friend.
Umeongea point sana.
Wewe unachinja ng'ombe na badala ya kuwapa watu nyama, unawapa mkia.Smart nini? Iko wapi? Imeanza lini? Usiandike habari ukafikiri kila mtu anaifahamu!
not true nipo kibaha na nina enjoy very well na bol/smart,kinachonifurahisha zaidi ni kwamba internet is free! 24hrs daily and it's fastly <0798>Mtandao huu mwisho magomeni. ukifika Mwenge hamna mawasiliano.
Sasa wewe ambao hujautumia mtandao unasema wapo vizuri alafu unawabishia walioutumia na kusema otherwise ?Wako vizuri, tuache kuwaponda. Sijatumia service yao hata moja lakini technology wanayoitumia ni lazima watasumbua sana Mitandao GIANTS. Upo mtandao mmoja mkubwa wa Simu umeshaanza kupukutishwa wateja wake.
tafadhali rafudhi uliotumia ni ya mzee onyango au...hahahaaaaaaaaaMtandao huu mwisho magomeni. ukifika Mwenge hamna mawasiliano.
kinachonifurahisha zaidi ni kwamba internet is free! 24hrs daily and it's fastly <0798>
Wako vizuri, tuache kuwaponda. Sijatumia service yao hata moja lakini technology wanayoitumia ni lazima watasumbua sana Mitandao GIANTS. Upo mtandao mmoja mkubwa wa Simu umeshaanza kupukutishwa wateja wake.
Si utaje tuu mkuu kwani unawasingizia?,
mii nawataja, wa kwanza ni VODACOM
Ahsante sana,jamaa alishaanza kutudanganyanimenunua hii laini nimetumia siku moja tu jioni nikaitupa net work inapatikana maeneo macheche tu ya jiji la dar unaweza kuangalia uzi wa nyuma nilioandika kulalamika huduma kwa wateja haipatikani ofisi zilipo hatujua tunaona matangazo kwenye mabango ukinunua laini haina network wa kumuuliza hayupo wizi mtupu https://www.jamiiforums.com/habari-...0987-smart-bol-ndio-mtandao-gani-wa-simu.html
dah! Hawa jamaa wako vizuri asee. Kwa wale wa 'mahaba niue' huu ndo mtandao wenyu banah! Unaongea kwa 79sh then mpaka sim iishe chaj au sikio liume. Yaani hapa nilipo tokea nimempigia wifi yenyu jana sijakata simu. Tunaongea kama tupo pamoja wajameni.
Karibuni sana wenzangu wa 'mahaba niue'