sm bus contoller driver msaada kuipata dell N5050

sm bus contoller driver msaada kuipata dell N5050

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,269
Reaction score
473
wakuu nina laptop dell N5050 kila niki update hii driver inagoma , hivyo naomba msaada kwa yoyote mwenye ujuzi au link au hata mwenye nayo anisaidie niweze kuipata.
 
Nenda www.dell.com, kwenye support / for home halafu tafuta model ya computer yako, download intel chipset, itaondoa tatizo lako.
 
Back
Top Bottom