LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 253
sorry to bust your bubble...
In dar, people build good (real) houses without following the city master plan, mainly because of corrupt practices of officials at land ministry. However, this unplanned construction is no where near to the magnitude of your proper slums in kenya....
Kibera and mathare are known world wide...
Largest slums in nairobi:
hata bongo hakuna kitu kama hii!
SLUMS IN TANZANIA
Poor sanitation situation, Tanzania by Sustainable sanitation, on Flickr
Pit latrine in Tandale, Dar es Salaam by Sustainable sanitation, on Flickr
Sewage in the street in Tandale, Dar es Salaam by Sustainable sanitation, on Flickr
Tandale 11July06 026 by Sustainable sanitation, on Flickr
DSCN0046 by markiliffe, on Flickr
and this is what 60% of the urban population looks like in Tanzania!!:A S 465::A S 465:
Eliakim ameeleza vizuri lkn sijui kwanini hatutaki kukubali ukweli! Hakuna Tz hakuna slums ya kulinganisha na kibera,kuna unplanned settlement! Na hata hizo pics za Tz alizotoa mwembetayari zinaonyesha poor sanitation na vipande vya nyumba!kiukweli Mwembetayari huwezi pata picha za slams unazotafuta,umeleta picha iliyopigwa kwa juu kuonyesha paa zilizochoka lkn ni nyumba za hali ya chini si mabox wala magunia ya kibera au mathare.
Tanzania yetu hii hapa,
Karibu Asilimia 70 ya makazi hapo Tanzania ni makazi duni. Kujaribu kuficha taka, haileti haki na manufaa hata kwa mwananchi wa Kawaida. kitamaduni, vyombo vya habari wanajukumu ya kuleta mbele picha za kushtumu serikali ikiwa inazembea na pia kupevusha watu. Serikali Ina kazi ya ziada .Na vyombo vya habari naona haziko huru vile kujaribu kokosoa jamii na uvundo ulioko ndani yake
Tanzania yetu hii hapa,
Karibu Asilimia 70 ya makazi hapo Tanzania ni makazi duni. Kujaribu kuficha taka, haileti haki na manufaa hata kwa mwananchi wa Kawaida. kitamaduni, vyombo vya habari wanajukumu ya kuleta mbele picha za kushtumu serikali ikiwa inazembea na pia kupevusha watu. Serikali Ina kazi ya ziada .Na vyombo vya habari naona haziko huru vile kujaribu kokosoa jamii na uvundo ulioko ndani yake
wote vipofu mwachekana hakuna mwenye unafuu. kazaneni mbadili hayo makazi.
hapa ndipo wengi tujichanganya na tz yetu kama tulivyoaminishwa!Sasa wewe unajibu nini?
Mwenzio anaongelea "ukweli" kwamba Tanzania tuna shida ya makazi bora/mazuri - ambayo tungetaka tungeweza kuwa nayo! Wewe unajibu na kuringia uzuri wa sura - kitu ambacho wewe au mimi hatuna uwezo kukibadili.Uzuri wako hauleti maendeleo yoyote.Ubaya wao kama upo ( natia shaka sana kwenye hili maana uzuri uko kwenye macho ya muonaji) haujawakwaza kitu.
Usikimbie hoja - jibu hoja na hoja.Usishambulie kwa kutukana.
hapa ndipo wengi tujichanganya na tz yetu kama tulivyoaminishwa!
Angalia nyumba zilizojengwa kwenye miji mingi ya Ulaya na Marekani katika makazi ya watu wa kati, thamani yake sio kubwa sana bali kinachofanya zionekane kuwa juu sana ni mipangilio ya mazingira ya hizo nyumba. Kila structure inafikiwa na barabara nzuri (ya lami), hawachoti maji kwa jirani, na kikubwa kabisa kunakuwa na bustani hata ndogo ya miti.
Kwa hiyo mbali na hiyo mipangilio ya makazi hakuna jina lingine unaloweza kuita haya maeneo, SLUMS ndio naona ni sahihi!
I am a coder too, we should work on a couple of projects BTW! I can steer you to success!
If you understood the article correctly, in Dar people construct good houses in unplanned areas...
But, dwellings in Kibera and Mathare are not worthy to be called houses they are shacks....:A S-coffee:
Btw, Tuune is old news it was Africa's first (in 2007) and i earn good $$$ on royalties...good for googling me though....:A S-coffee:
Kwenye eneo lenye maji safi mpumbavu hufa kwa kiu! Hivi ni ugumu gani kusema kuwa sera zao za makazi zimeshindwa? au tunafikiria yanayotokea ni laana ya shetani?