Slow jams - pini ipi ilikubamba

Slow jams - pini ipi ilikubamba

Fibanochi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
476
Reaction score
1,024
Kwa wale wa kizazi cha kabla ya Y2K watakumbuka miaka ya 90 hadi mwanzoni mwa 2k kulikuwa na nyimbo kali sana za R&B.

Kuna baadhi ya nyimbo ukisikiliza zinasisimua mpaka mifupa. Binafsi kuna ngoma moja ya Usher Raymond inaitwa " Nice & Slow" ilinikosha na still inanikosha.

Wewe wimbo gani ulikubamba?
 
Nilichogundua.. ni kwamba watu wengi wanapenda nyimbo za Male artists kitu ambacho kwa miaka hiyo Male artist waliwika sana kwenye makundi yao..

Ila for me Slow jamz kali top 10 kuanzia 1_7 ni female artists..

Wanajua wanachokifanya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom