Slow down

Lile darasa la true love vipi? au limehairishwa? hapa ndio mahala pake si unaona jamaa katoa Helmet ili bimdogo apone, halaf habari za kuaminika siku 20 baada ya maziko bimdogo kakutikana gesti na njemba ya kijaluo. Wanawake bana!

hahahahahah lol
we mchokozo kweli kweli mmhhh
bimdogo bado yuko matangani mi
hizo habari zako siziamini sana hahahahh lol

mmmhh TRUE LOVE daaahh
yaani unataka kunichemsha bongo
wakati unaanza kisinzia mmmhhhhh
 
hahahah... nafurahi kua nawe ni mmoja wapo... ila ukijisikia tu kulia zingatia yafuatayo;


WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke. (source Sig ya Klorokwini)





hehehe Asha D bana!
 
hahahahahah lol
we mchokozo kweli kweli mmhhh
bimdogo bado yuko matangani mi
hizo habari zako siziamini sana hahahahh lol

mmmhh TRUE LOVE daaahh
yaani unataka kunichemsha bongo
wakati unaanza kisinzia mmmhhhhh

Unajua nataka kutunga kitabu na kitazinduliwa Zimbabwe lakini hakitouzwa kwa dollar za Zimbabwe, sasa fanya umwage darasa halaf nitaandika jina lako kwenye ukurasa wa mwisho. Na nadhani na hiki kisa cha Helmet nitakiweka kwenye index.
 
dahhhh itabidi tutafute njia
mmmhhhh nipe muda kidogo
ntawaza jinsi tutakavyogawana
hahahahaahha lol
wewe utaitwa AD wa klorokwini na Asha D ataitwa AD Helmet (kwavile ameshiriki kikamilifu katika hii sred ya helmet). Problem solved, nipo kwaajili yenu.
 
Unajua nataka kutunga kitabu na kitazinduliwa Zimbabwe lakini hakitouzwa kwa dollar za Zimbabwe, sasa fanya umwage darasa halaf nitaandika jina lako kwenye ukurasa wa mwisho. Na nadhani na hiki kisa cha Helmet nitakiweka kwenye index.

hahahahaha lol
haya bwana dahh
kama jina la Afrodenzi litakuwa humo
mmmhhh usijali sasa ngoja nikachukue
msasa ni noe ubongo vizuri halafu ni ku
dondoshee zile za PHD au wasemaje hahahhah lol
 
mmmmhhhh
ADK
ADH

hapana sijui lakini ngoja
nione Kurwa anasemaje maana
Doto nimeka taa hahahhahaha lol


dah! sasa inabidi nilog out, nitakumiss kweli aisee! niombee nisije nikapata maradhi mabaya kama ukimwi kwa kukumiss. Na naomba niagie kwa Asha D (naskia mume wake ana wivu ajabu, naogopa kumuaga direct). tukutaneni ndotoni na mada yetu hii hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom