Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,272
Sleep Apnoea ni tatizo linalowatokea hasa watu wanene kupitiliza (obesity), wengine wanarefer kama Obstructive Sleep Disorder (OSD). Statizo hili ni la kutokulala vizuri, ukiwa umelala, neck muscles zinablock airway, hii inasababisha mwili kutokupata oxygen, as a natural body defence mechanism, ubongo unapata habari kuwa hakuna oxygen yakutosha mwilini, inabidi uamke uvute pumzi, baada ya muda unasinzia tena, air way inakuwa blocked tena.
Hali ikiwa mbaya katika muda wa dakika 60 unaweza kuamka mara 20. Hii inamaana hujalala vizuri, unaweza kushangaa kuwa katika masaa nane uliyojipangia kulala, umepata usingizi wa dakika 60. Matokeo yake unaamka asubuhi ukiwa umechoka sana, kibaya zaidi ukiwa unaweza kulala bararani wakati unaendesha gari, hii ni hatari kwako wewe na watumiaji wengine wa bara bara. Kwenye vikao vya ofisini ukawa ni mtu wa kusinzia, tatizo hili ninadhani wabunge wetu linawasumbua sana.
Maranyingi madaktari wanakurefer kwenye sleep clinic, dawa kubwa katika tatizo hili ni kupunguza unene, lakini ukihisi unatatizo hili ni vizuri kuwaona watalaam wakusaidie.