Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,736
- 5,142
Samaki wa naonyesho (Goldfish) haliwi ila samaki asiye wa maonyesho (Sato) ndio huliwa.Kwanini wanaume mkioa Au mkiwa kwenye serious relationships (sio wote) mnakua mmechagua wanawake descent meaning hawana mambo mengi wanajiheshimu wana upendo wa kweli then in the other side mnakua na the so called slay queens wale wa instagram, wenye mishape mikubwa weupe kama papai, wanakula sana bata , wanavaa nusu uchi
and watoto wa mjini?
Kwanini????? Inamaan again slay queens Ndio wanafaa tu kuwa side chicks na sio kuolewa na kuwekwa ndani?
, wenye mishape mikubwa weupe kama papai, wanakula sana bata , wanavaa nusu uchi