Slay queens na wanawake wasio na mambo mengi

Slay queens na wanawake wasio na mambo mengi

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
890
Reaction score
2,203
Kwanini wanaume mkioa Au mkiwa kwenye serious relationships (sio wote) mnakua mmechagua wanawake descent meaning hawana mambo mengi wanajiheshimu wana upendo wa kweli then in the other side mnakua na the so called slay queens wale wa instagram , wenye mishape mikubwa weupe kama papai, wanakula sana bata , wanavaa nusu uchi
and watoto wa mjini?
Kwanini????? Inamaan again slay queens Ndio wanafaa tu kuwa side chicks na sio kuolewa na kuwekwa ndani?
 
Mjue kwanza wanaume ni ngumu kutosheka hilo moja ila kubwa zaidi tunapenda kuonesha uanaume wetu..
Mfano "unaona manzi ina mzigo au iko hivi, unaiwazia hii nikiitembezea ule moto wangu usio zimika na hawa fire wa bongo" unaishia kucheka tu.

3. Wengi wastaarabu wanakosea wanakuwa wastaarabu mpaka chumbani hili ni kosa la wanawake weeengi.
 
Kwanini wanaume mkioa Au mkiwa kwenye serious relationships (sio wote) mnakua mmechagua wanawake descent meaning hawana mambo mengi wanajiheshimu wana upendo wa kweli then in the other side mnakua na the so called slay queens wale wa instagram , wenye mishape mikubwa weupe kama papai, wanakula sana bata , wanavaa nusu uchi
and watoto wa mjini?
Kwanini????? Inamaan again slay queens Ndio wanafaa tu kuwa side chicks na sio kuolewa na kuwekwa ndani?
Tamaa ya mwili vs Tamaa ya kuwa na mwenza wa ndoa. Mwanaume akitaka mwanamke wa kuoa anachukuwa hao uliyosema descent. Akipata tamaa ya mwili anachukuwa hao ma-slain queen. Hii ni kwa sababu ni vigumu kupata slain queen mwenye sifa za kuwa wife material.
 
slay queen wengi ni mabogazi wew toka lini mtu anayepiga picha anaangalia matako yake akawa na akili.mtu masaa 24 anashinda hotelini kupiga picha nawine utampelekea wapi ukioa sio balaa tupu.mtu kila siku anawaza kula mikuku ya KFC unapeleka wapi mtu kama huyu.

Sasa kwanini mnatembeaga nao na kuwachezea? Kwann msiwaambie ukweli
 
Mbona wapo sana
Wapo lakini siyo wengi. Wachache sana. Na ni vigumu kujua yupi ni yupi hivyo wanaume wengi wanaogopa kucheza bahati nasibu. Mwanaume una kiduka chako cha mangi halafu uchukuwe slain queen hujipendi? Akija Diamond au Kiba si atamnyakuwa kama tai anyakuavyo kifaranga na wewe ubaki kulaani kama kuku?
 
Sasa kwanini mnatembeaga nao na kuwachezea? Kwann msiwaambie ukweli
Sex drive dear. Unafikiri wanaume wanatembea nao kwa sababu ya mapenzi? Yaani nia yangu ni kupiga mashine halafu nikumbie tena ukweli? Tena nitakuambia wewe ni yule mtarajiwa... wewe slain queen ndiyo unatakiwa uzichange kichwani...badala ya kukimbia kutoa tunda sema unataka ndoa kwanza....
 
Back
Top Bottom