Slay queen sio mwanamke wa kuoa

Jambo na vijambo.wakuuu!tusakeni dooh,hizi slay zipogo tu,daily zinazaliwa.πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 


cc:Shamimu Mwasha, Mwamvita Makamba na wasanii wenzao wa mjini
 
Aslay qeen ni ndugu yake na aslay au?
 
Mkuu unatusaidiaje sisi wa kolomije kujua nani ni slay queen na nani sio?
 
Naunga mkono hoja ila pale ulipokuwa uwaongelea umekosea maslay queen ni wasichana au wadada au wamama ambao ni wanapenda maisha ya juu ila akili hawana.
 
Mwache aendelee kulialia kuja kushtuka pesa hana, demu wa maana hana
Demu wa maana ni yule mtafutaji sio anayehemea hela za wanaume.
Namtu anayejitambua haoi mwanamke mchunaji ndio maana asilimia ya matajiri wake zao sura hakuna wala shepu.
Unaoa mtu akuletee shida ndani aongeze bajeti zisizo nampangilio.
Eti mahousegirl kumi au ishirini wewe nani umefanya nini hadi uletewe ishirini.
Hela za wenzako unakula mimi mtu nampa big up nizari tu wengine woi.
Kazi kumendea mali za wenyewe nakuzaa vipakaa.
Ili ale vya watu tu nakusumbua familia za watu.
Kutwa presha.
 
Huyo zari Kama hapendi pesa kwanini anajiweka kwenye walio na pesa? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, Kutafuta tutafute za kwetu na kupewa tupewe vile vile ndo inanoga!
 
Huyo zari Kama hapendi pesa kwanini anajiweka kwenye walio na pesa? [emoji3][emoji3][emoji3], Kutafuta tutafute za kwetu na kupewa tupewe vile vile ndo inanoga!
Unapoint nzuri sana nasipingi kwa maana unajitambua .
Ila kuna watu wengine hawajitambui woi kweli lazima mwanaume akupe pesa naakuwezeshe ila dah wengine vilaza wapo sehemu za maana hawajui kutumia huo muda wao kisa analala anakula anaendesha magari yakifari.
Nawengine wanaingia nyumba za watu wamavuruga amani za watu yaani hadi nimechoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…