msakaa jr
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 6,512
- 6,723
Ni EL 1 mkuuUnanikumbusha enzi zangu language advance, sijui ilikuwa language 2 ile au 1 huko. Jargon, bilingual sijui mataka taka gani huko. Duh!!! Kimalkia kimetukomesha kweli kweli
Ni EL 1 mkuuUnanikumbusha enzi zangu language advance, sijui ilikuwa language 2 ile au 1 huko. Jargon, bilingual sijui mataka taka gani huko. Duh!!! Kimalkia kimetukomesha kweli kweli
Tunakutana na ma syntax na ma phonology, intonation sijui. Duh!!! Kimalkia sio kabisa aiseeeNi EL 1 mkuu
Hapo nimeambulia 'sepa'.Yechu
Sepa
Ngaa
Hiyo ilikuwa zamani mkuu siku izi havipo yaani vitu vimevunjwavunjwa mno mpaka wanafunzi wanatoka hamna kitu kabisa kwenye EL 1,sio kama enzi zenu za syntax, morphology, phonology na semantics ambapo wanafunzi wanatoka na ngeli ya ngahwengahwe na wakati mwingine ziro kabisa.Tunakutana na ma syntax na ma phonology, intonation sijui. Duh!!! Kimalkia sio kabisa aiseee
You're welcome sir.You've done a bang up job bringing people understand about slang. Thanks
Basi enzi zile ilikuwa mambo mema. Kama wametoa hayo sasa wanafundisha nini??Hiyo ilikuwa zamani mkuu siku izi havipo yaani vitu vimevunjwavunjwa mno mpaka wanafunzi wanatoka hamna kitu kabisa kwenye EL 1,sio kama enzi zenu za syntax, morphology, phonology na semantics ambapo wanafunzi wanatoka na ngeli ya ngahwengahwe na wakati mwingine ziro kabisa.
Namlaumu alie badirisha hizi dudes mkuu.
Ni kweli. Vilishatupiliwa mbali.Nasikia now days hakuna hivo vitu
Cha ajabu chuoni unakutana na maswali yake kwenye communication skills CL 106Nasikia now days hakuna hivo vitu
Sasa wanafundishwa nini??Ni kweli. Vilishatupiliwa mbali.
Unajua zamani ilikuwa ni kama kujifunza kanunikanuni (S+V+A, nk) --- grammar method wanaita. Lakini sasa hivi ni kujifunza lugha ya kimatumizi zaidi - ambayo ni jabo zuri kama ingefundishwa na wataalamu wenye ujuzi.Sasa wanafundishwa nini??
Duh, hiyo ilinipiga chenga. Sikuwahi kuisikia kabisa.Ngoja nikajitosi tosi
Yaani ngoja nikajiweke safi.. Zamani bhana
kweli kabisa JoseNimetoka kapa....
Kampa kampa tena...
Unazingua...
Bi mkubwa....
Mshua....
Mchuchu.....
Barida mwanangu....
Umetoka chicha....
Mzuka mwanangu...
Barida bahariakweli kabisa Jose
Poa msela wanguBarida baharia