Slaa: Tusianze kushangilia ushindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa: Tusianze kushangilia ushindi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Luteni, Sep 23, 2010.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Dr. Wilbrod SlaaTusianze kushangilia ushindi kabla hata kipenga cha mwisho kulia. Sote tuendelee kuhamasishana kuchangia ili wagombea wetu wote waweze kushinda. Vijana jitoleeni muda na vipaji vyenu, na wenye uwezo jitoleeni kutusaidia kuchapisha mabango yetu. Ushindi tunaoutaka una gharama ya hali na maisha. Tushikamane hadi ushindi!
  Tusianze... | Facebook
   
Loading...