Slaa pokea hoja hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa pokea hoja hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by koo, May 13, 2011.

 1. koo

  koo JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hamjambo wana jamvi
  Naomba kuchuka nafasi hii kumuomba dr W.P.Slaa akiweza kabla ya kondoka songea awe ametoa tamko juu ya kushuka kwa bei ya tumbaku inayo muumiza sana mkulima.
  Kwa kulinganisha na gharama za uzalishaji mkulima atapunjika sana kwani bei imeshuka kwa karibu 40% serikali imekalia kimya swala hili na mkulima amekosa pa kwenda hivyo nakuomba dr katika maandamano ya leo hoja ya kushuka kwa bei ya tumbaku ijumishwe.

  Nawasilisha
   
 2. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Maandamano ndio yananunua tumbaku?
  Wanachadema sasa wana uchizi! Unaugua malaria unaenda kwa mwanasheria!
   
 3. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hivi kumbe kuna watu hawajui maana ya maandamano. Kamuulizeni Hosni Mubarak. Maandamano ni njia ya kistaharabu kufikisha ujumbe, kushinikiza na hata kuleta mabadiliko. Duh, kazi kwelikweli.:smow:
   
 4. Josephine

  Josephine Verified User

  #4
  May 13, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Ni maandamano yaliyosababisha bei ya sukari kushuka umesahau?
   
 5. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Sio mbaya umejaribu kufikiria.
   
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Maandamo yamepelekea JOSEPHINE kupata 7.5 m kwa mwezi!
  Sio mimi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #7
  May 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Poleni sana wana ccm,yaani nyie ndiyo Mukama kawaleta kujibu hoja za Cdm,loh!POLENI SANA!
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  May 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  The following user groaned Jesuit for this useless post
  genekai (13th May, 2011)
   
 9. M

  Mmongolilomo Senior Member

  #9
  May 13, 2011
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Anaogopa kitumbua kitaingia mchanga, kama sukari ilifika 2500 baada ya maandamano ya kanda ya Ziwa ikashuka mpaka 1700/1800 kwann hili la tumbaku lisiwezekane?
   
 10. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #10
  May 13, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Huku TABORA wakulima walio katika vyama vya ushirika 18 wamegoma kuuza TUMBAKU YAO mpaka bei itakapopanda.
  Chanzo VOT FM
   
 11. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #11
  May 13, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Haya ni mambo ya msingi..ni lazima wakulima wasikilizwe.
  Serikali iliyopo imeziba masikio.
  Please!! viongozi wa CDM zungumzeni, pigeni makelele kwa nguvu zote ili kuzuia unyanyasaji huu dhidi ya wakulima wanyonge wa taifa hili wasiyokuwa na sauti yoyote dhidi ya serikali inayoongozwa kifisadi..
   
 12. T

  Tiote Senior Member

  #12
  May 13, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unachoniudhi ni kwamba umechukua muda sana kujua kwamba jamaa hamnazo! Wanadhani wakikusanyika viwanja vya mfaranyaki wakatoa matamko ya kuwadanganya watu basi tayari bei itapanda. Bahati mbaya wako wengi hao wenye mtindio wa ubongo.
   
 13. T

  Tiote Senior Member

  #13
  May 13, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kichanga kitalelewa kwa ulainiii!
   
 14. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #14
  May 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :majani7:
  VIWAVI mna nini? Ya mkwèré yamewashinda mnabaki kutapa tapa. Kama vipi :ban:
   
Loading...