koo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 258
- 67
Hamjambo wana jamvi
Naomba kuchuka nafasi hii kumuomba dr W.P.Slaa akiweza kabla ya kondoka songea awe ametoa tamko juu ya kushuka kwa bei ya tumbaku inayo muumiza sana mkulima.
Kwa kulinganisha na gharama za uzalishaji mkulima atapunjika sana kwani bei imeshuka kwa karibu 40% serikali imekalia kimya swala hili na mkulima amekosa pa kwenda hivyo nakuomba dr katika maandamano ya leo hoja ya kushuka kwa bei ya tumbaku ijumishwe.
Nawasilisha