tycoon sley
New Member
- Nov 1, 2010
- 4
- 0
Kipindi hiki cha uhesabuji wa kura karibu kimemalizika na kilichobaki ni kutangazwa kwa mshindi wa mgombea wa uraisi kwa tanzania bara, hivyo basi slaa inabidi akubaliane na matokeo na sio kuanza kugomea matokeo, hiyo ndio reality , kilichobaki tutazame mbele maendeleo ya nchi yetu na sio kuanza purukushani siziso na msingi, tanzania ni moja na maendeleo ya watanzania wote.
muda wake ukifika wa kuitawala tanzania atakuwa tuuu, hakuna kitu kisichowezekana mbele ya mungu,
god bless tanzania ,

naona wakati wa kukubali matokeo ndo huu kwani hakuna jipya kwa sababu Dr slaa anayotoa kama malalalamiko hayana msingi wowote ni kuwaadaa wananchi bureeeeeeeumesoma website hii jinsi jamaa wa NEC wanavyochakchua?
The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage