tycoon sley
New Member
- Nov 1, 2010
- 4
- 0
Kipindi hiki cha uhesabuji wa kura karibu kimemalizika na kilichobaki ni kutangazwa kwa mshindi wa mgombea wa uraisi kwa tanzania bara, hivyo basi slaa inabidi akubaliane na matokeo na sio kuanza kugomea matokeo, hiyo ndio reality , kilichobaki tutazame mbele maendeleo ya nchi yetu na sio kuanza purukushani siziso na msingi, tanzania ni moja na maendeleo ya watanzania wote.
muda wake ukifika wa kuitawala tanzania atakuwa tuuu, hakuna kitu kisichowezekana mbele ya mungu,
god bless tanzania ,
muda wake ukifika wa kuitawala tanzania atakuwa tuuu, hakuna kitu kisichowezekana mbele ya mungu,
god bless tanzania ,