Dr. Ameshaingia! Mbunge wa kiteto kafunika kwa hotuba yake fupi! Haka kanyimbo ka slaa anaweza kananipa mizuka sana! Likikatiza gamba lolote kwa mizuka hii naweza kulipa vichwa kama 100 vya pua
Safi sana CHADEMA...Mkuu endelea kutujuza....Anaongea H.Mdee mbunge wa kawe,anasema wakati yupo Udsm siasa ilikuwa ni maisha yao sabab CCM walikuwa wapo peke yao ,lakin Chadema ilipoanza kuwasha moto ikawa nongwa,wakapiga marufuku.Sasa anashanga wanachuo wasiposhiri siasa nani atashiriki?
Kwanza kabisa acha ujinga wa kwene facebook hapa ni JF....uckurupuke tek ur ku make ur decisiön right kwan bado chadema wanasafar ndefu kuonyesha kwel kuw wana nia ya kwel ya hii nchi....
Dr. Ameshaingia! Mbunge wa kiteto kafunika kwa hotuba yake fupi! Haka kanyimbo ka slaa anaweza kananipa mizuka sana! Likikatiza gamba lolote kwa mizuka hii naweza kulipa vichwa kama 100 vya pua
Do you mean what you say? tangu lini wewe ukawachukia magamba?
..sasa m/mwenyeki BAVICHA taifa anazungumza,anakumbusha kwamba Vijana ni nguvu ya mabadiriko,anawaeleza kuwa vijana ni lazima waisemee jamii kwani wananchi wanawategemea.
Ni Heche huyo?vp ana mashiko nayeye!
Itabidi tukodiwe magari ili tuonekani wengi. What makes the difference bty u and ccm kama mnavyodai? Craizy.Wazee dr.slaa kesho atakuwepo mitaa ya skanska hall(sorry kama nimekosea spelling),tegeta road akizindua chadema students organisation(chaso) tawi la ardhi university! Usafiri utakuwepo chuoni kuanzia saa 2 asubuhi! Karibuni, me ntaenda ili kuiwakilisha ardhi kimapambano and nione kama slaa anaweza kunishawishi ili nijiunge naye majeshi! Hadi wakati huu sipo upande wowote kichama tz