matungusha
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 594
- 128
Wazee dr.slaa kesho atakuwepo mitaa ya skanska hall(sorry kama nimekosea spelling),tegeta road akizindua chadema students organisation(chaso) tawi la ardhi university! Usafiri utakuwepo chuoni kuanzia saa 2 asubuhi! Karibuni, me ntaenda ili kuiwakilisha ardhi kimapambano and nione kama slaa anaweza kunishawishi ili nijiunge naye majeshi! Hadi wakati huu sipo upande wowote kichama tz
Kama wasomi wengi wanamwelewa Dr. Slaa inakuwaje mzee mpaka leo bado unasisita? Inaonyesha wewe unashawishika hata kwa fedha maana hauna maumivu kabisa na shida za hii nchi. Hata kama siyo Dr. Slaa, kama msomi uliyeelewa nchi hii inavyoenda, unahitaji kuunga mkono upinnzani dhidi ya udhalimu utawala uliopo.
Rudi moyoni mwako ufikirie vizuri maana wasomi ndo tunaowategemea kwenye upinzani na wajinga ndo mtaji wa magamba.
Labda itasaidia uchoraji wa ramani. li nchi kubwaaaaa bado wamebakia kutupimia high density. Hivi hamuwezi kubadili ili ukubwa wa low density kuwa high density? Kila walichosoma kwa mzungu ndo wanafanya. Mwingereza anastahili kuwa na high density kwa sababu ya udogo wa eneo lake la ardhi. Badilikeni wandugu!! Kwa kweli mnachosha, miaka 50 ya uhuru lakini mawazo ni yale yale ya akina Tip Tip na Mirambo na Kinjekitile..... Dr Slaa hebu waambie na hili
msituangushe nyie vijana wa archi.
hivi ramani mnazochoraga zinafanyiwaga kazi? hivi nyinyi ndio mlichora ramani ya manzese? nyie kweli ni vichwa
..Watz 2na tatizo sn la muda! Hadi muda huu slaa hajaingia!cdm kama kweli wanataka kuleta mapinduz inabid wachange kuanzia kwenye vitu vidogo vidogo kama muda
Dokta anaelezea suala la kutaka kukamatwa kwa Mbowe..wamekubaliana mh Mbowe aendelee na kazi zake kama kawaida ,kama serikali inataka kumkamata imkamate na wameshamuandaa kisaikorojia kukaa gerezan ila serikali ijue inawakamata watanzaia wote na ijue hivyo na ijiandae kwa lolote.