Wanzibari wamesema hawayaki muungano. Na maoni yao ysmesha kusanywa. Kama mmsbishs mwulize Jussa.Very good idea but katiba mpya itaruhusu wote watoke bara?
Sasa kati ya Zitto na Slaa nani mtamfanya Mzenji maana lazima mmoja atoke Mchamba wima, mfereji maringo au Kibanda Maiti kwa mujibu wa katiba
Kama kweli chadema iko serious kutaka kuingia ikulu ni lazima ikapanga wagombea wake kama nilivyopendekeza yaani mgombea urais awe ni Dr slaa na mgombea mwenza awe ni Zitto.mchanganyiko wa timu hii kwa order ya Slaa-Zitto ni mchanganyiko wenye uwezo wa kuzoa kura nyingi.
Chadema kama mnanisikia zingatieni hili hamtajuta.malizeni tofauti za watu hawa kama zipo na muanze maandalizi ya kuwauza kwa wananchi kama timu!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Tunataka maji,umeme,afya,uchumi,elimu na kikubwa zaidi ya yote ni Amani . Sasa mambo ya kutupangia wagombea mwaka 2015 haujafika nn maana yake? Au mmeshaishiwa sera mara hii na ndo maana mnazua mambo kila kukicha na mufanya vioja ili mradi msisahaurike masikioni mwa watanzania
Zito si kirusi leo kawa turufu
very good idea but katiba mpya itaruhusu wote watoke bara?
zito si kirusi leo kawa turufu