Slaa na Lissu hatimaye wameonekana tena!

Slaa na Lissu hatimaye wameonekana tena!

Hawa watu sjui walikuwa wamejificha wapi, leo nimewaona na matamko yao feki, ambaye hajayazoea ana matatizo!
Wameungana na Mbowe kutaka kuandamana.

Wanasema eti askari wapo elf 35, wanategemea waandamanaji milion 20 ukitoa watoto na wamama. Ndo maana nimesema matamko yao ni feki maana kwenye hiyo idadi ameniweka hadi mimi ambae sina mpango huo, amemweka hadi JK ambae hana mpango huo! Wanachadema hawafiki hata milioni! Toeni kafara maana muda umepita sasa hamjaua!
Huyu sirluta asamehewe tu. Kama post yake ya jana ilivyo, katibiwa kwa ugonjwa usiojulikana. Na hajapona bado...
 
Last edited by a moderator:
Nyinyi na hawa viongozi a wanasiasa hawa haya yangu macho. Maana wengi humu historia ya siasa za ulimwengu huu hamzijui.
 
Kwa hiyo maandamano ya aina yoyote ile yasiwepo nchini simply kwa sababu ya uvunjifu wa amani? I doubt your capacity to conventional wisdom! Hoja dhaifu hutolewa na ubongo mwepesi. Think deeper before reacting.

nina mashaka na uwezo wako wa uelewa. U might b a div 5. Nimekupa ufafanuzi vizuri wewe ukaja na matusi! Ukweli ndio huo. Yapo maandamano hufanyika kwa amani bila kufanyika kwa uhalifu yakiwemo ya wafanyakazi, madhehebu ya dini na asasi za raia. Yanapokuja maandamano yanayojumuisha makundi mbalimbali ya watu, kama wezi, wabakaji, walevi, wanachadema, wanacuf, wananccr mageuzi, wana act, waislam, wakristo, mateja, mashoga kama wewe, wasagaji, uhalifu hautaachwa kwani ndani ya waandamanaji wapo wasio na nia njema.
 
Back
Top Bottom