Slaa na Lissu hatimaye wameonekana tena!

Hawa watu sjui walikuwa wamejificha wapi, leo nimewaona na matamko yao feki, ambaye hajayazoea ana matatizo!
Wameungana na Mbowe kutaka kuandamana.

Wanasema eti askari wapo elf 35, wanategemea waandamanaji milion 20 ukitoa watoto na wamama. Ndo maana nimesema matamko yao ni feki maana kwenye hiyo idadi ameniweka hadi mimi ambae sina mpango huo, amemweka hadi JK ambae hana mpango huo! Wanachadema hawafiki hata milioni! Toeni kafara maana muda umepita sasa hamjaua!

Mkuu kweli unajua CHADEMA ILIPATA KURA NGAPI ?!! ukijumlisha kura walizopata wabunge na madiwani walioshinda na walioshindwa jumlisha na kura za Urais ndo utajua mziki wa CHADEMA ni mkubwa kiasi gani.
 
chadema ya wakati upi? Uliopita, wa sasa ama ujao?
 
Hawa watu sjui walikuwa wamejificha wapi, leo nimewaona na matamko yao feki, ambaye hajayazoea ana matatizo!
Wameungana na Mbowe kutaka kuandamana.

Wanasema eti askari wapo elf 35, wanategemea waandamanaji milion 20 ukitoa watoto na wamama. Ndo maana nimesema matamko yao ni feki maana kwenye hiyo idadi ameniweka hadi mimi ambae sina mpango huo, amemweka hadi JK ambae hana mpango huo! Wanachadema hawafiki hata milioni! Toeni kafara maana muda umepita sasa hamjaua!

We ni chizi fresh
 
Kampigie nape magoti kwanza ili (na hiyo ni labda) akufundishe namna ya kutafuta buku 7!
 
WATAANDAMANA KWAO HUKUHUKO,NA WATAPIGWA.NA HII NDO ITAZIDI KUWASHUSHIA HESHIMA YAO,KWASASA WAMEBAKI NA GAZETI LA MBOE TANZANIA DAIMA NA NIPASHE AMBALO WAFANYAKAZI WAO WENGI NI WAKWAO HUKOHUKO,WANAMAHABA.CDM Kushnei!!!
 
Mkuu kweli unajua CHADEMA ILIPATA KURA NGAPI ?!! ukijumlisha kura walizopata wabunge na madiwani walioshinda na walioshindwa jumlisha na kura za Urais ndo utajua mziki wa CHADEMA ni mkubwa kiasi gani.

WANA WABUNGE 23 Katka zaidi 200,na WENYEVITI WA ALMASHAURI ZA MIJI,MANISPAA NA MAJIJI HAZIDI 9 hata ukihesabia ARUSHA Katika 336.HAMNA MPINZANI ALIEPATA KURA NYINGI KUMSHINDA MREMA.
 
Hawa watu sjui walikuwa wamejificha wapi, leo nimewaona na matamko yao feki, ambaye hajayazoea ana matatizo!
Wameungana na Mbowe kutaka kuandamana.

Wanasema eti askari wapo elf 35, wanategemea waandamanaji milion 20 ukitoa watoto na wamama. Ndo maana nimesema matamko yao ni feki maana kwenye hiyo idadi ameniweka hadi mimi ambae sina mpango huo, amemweka hadi JK ambae hana mpango huo! Wanachadema hawafiki hata milioni! Toeni kafara maana muda umepita sasa hamjaua!
Wewe ni mtoto hivyo hujahesabiwa, Jk na wachumia tumbo walioko Dodoma hawamo kwenye hesabu. Watanzania wote wapo milioni 40.
 
Eti kwa kuwa yeye ni muoga basi kila mtu anadhani mwoga au zuzu kama yeye.
Woga tulishauvua tangu tulipoanza kuitwa makamanda. Huwezi kuletewa uhuru kwenye sahani.
Haki huwa haiombwi, bali huchukuliwa tu.
Ova
 
Hawa watu sjui walikuwa wamejificha wapi, leo nimewaona na matamko yao feki, ambaye hajayazoea ana matatizo!
Wameungana na Mbowe kutaka kuandamana.

Wanasema eti askari wapo elf 35, wanategemea waandamanaji milion 20 ukitoa watoto na wamama. Ndo maana nimesema matamko yao ni feki maana kwenye hiyo idadi ameniweka hadi mimi ambae sina mpango huo, amemweka hadi JK ambae hana mpango huo! Wanachadema hawafiki hata milioni! Toeni kafara maana muda umepita sasa hamjaua!

Hivi unahangaika nini bro? We si ukae kimya tu? Tunaandamana sisi,nashangaa wewe unawashwa
 
WATAANDAMANA KWAO HUKUHUKO,NA WATAPIGWA.NA HII NDO ITAZIDI KUWASHUSHIA HESHIMA YAO,KWASASA WAMEBAKI NA GAZETI LA MBOE TANZANIA DAIMA NA NIPASHE AMBALO WAFANYAKAZI WAO WENGI NI WAKWAO HUKOHUKO,WANAMAHABA.CDM Kushnei!!!

Kuku wewe kaa kimya
 
Hawa watu sjui walikuwa wamejificha wapi, leo nimewaona na matamko yao feki, ambaye hajayazoea ana matatizo!
Wameungana na Mbowe kutaka kuandamana.

Wanasema eti askari wapo elf 35, wanategemea waandamanaji milion 20 ukitoa watoto na wamama. Ndo maana nimesema matamko yao ni feki maana kwenye hiyo idadi ameniweka hadi mimi ambae sina mpango huo, amemweka hadi JK ambae hana mpango huo! Wanachadema hawafiki hata milioni! Toeni kafara maana muda umepita sasa hamjaua!
Kuandamana si lazima kina Upinde waje kwenye kundi la kutembea na wana CHADEMA, hata kuandamana kwenda kwenye vikao na IGP Mangu ili kujadili namna ya kukataza MAANDAMANO haya nako ni kuandamana tena wao watandamana kabla maandamano ya Mwenyekiti Mbiwe kuanza. Hata Mapolisi nao wataandamana kwa kujua au kutojua.
 
Unauwakika wame KU_INCLUDE ?

Kasome tena haalafu anagalia WAJIHI NA NASABA YAKO.

Ktk hiyo esabu na watoto wao wamo? Au ndio mtaji watoto wamkulima anae subili mwanawe auzee begi karume kisha atume pesa ya sabuni kwa mama kijijini ndio akandamaane kwa faida ya nani Slaa nnamashaka na upadri wake Kiongozi gani asie na huruma kwa kondoo wa bwana vijana wenzangu tujiepushe na hili kundi ni hatari yotehayo wanatafuta kuitwa IKULU tu basi njooni tuzungumze alfajir wapo getini
 
Mataifa makubwa duniani yanafatilia every step of events na ccm wanalijua hili. Since serikali hii haiwezi maliza mwezi ita collapse kiuchumi na kifedha na hatimae kijamii na kisiasa eg. Zimbabwe endapo nchi za magharibi kwa pamoja zitaiadhibu serikali. Nchi kama China haitabadilisha kitu wao wana vipaumbele vyao. Pigo kubwa la kwanza litakuwa hakuna viza za nje esp. USA na EU Australia Canada. Hata kutibiwa hadi kibali maalum. The Hague ICC watafungua file kwa wote watakao husika kusababisha kuuliwa waandamanaji wasio na silaha wakipigania demokrasia. Chama tawala eleweni hivyo ili mtumie busara kwani mtu akiandamana kwa amani na bango lake mnapungukiwa nini? Times have changed dunia imebadilika human right ni number one issue duniani kote. Utaua watu wako utafungwa nje. Mitandao ya jamii na IT advanced hakuna kitu kitafichwa kisijulikane. Siku hizi majeshi ya chini yamepitwa na wakati hizi ni zama za drones! Wingi wa askari sio hoja Libya ilipigwa bila wazungu kutia mguu ardhini.
 
kama una historia ya maandamano yanayofanyika hapa nchini kama Arusha na Mwanza, utakubaliana name juu ya haya; waandamanaji hubeba silaya za jadi kama; visu kwenye soksi na mifukoni, bisibisi, mapanga wanayahifadhi ndani ya makoti makubwa, na silaha zingine. Pili siku ya kuandamana uhalifu mwingi hufanyika ikiwapo uporaji hasa kwenye maduka ya vyakula, migahawa, n.k, wizi, ubakaji, udhalilishaji kwa wasioandamana. Kwahiyo unapokuja na vihoja vyako hapa, fanya rejea ya maandamano yaliyoruhusiwa. Hayakufanyika kwa amani kwani waandamanaji wengi hutumia nafasi hiyo kufanya uhalifu.
 
Hivi unahangaika nini bro? We si ukae kimya tu? Tunaandamana sisi,nashangaa wewe unawashwa

naona siku nyingi sana hujanywa whisky ndo maana unataka ukapore kwenye ule mgahawa!
 
Hawa watu sjui walikuwa wamejificha wapi, leo nimewaona na matamko yao feki, ambaye hajayazoea ana matatizo!
Wameungana na Mbowe kutaka kuandamana.

Wanasema eti askari wapo elf 35, wanategemea waandamanaji milion 20 ukitoa watoto na wamama. Ndo maana nimesema matamko yao ni feki maana kwenye hiyo idadi ameniweka hadi mimi ambae sina mpango huo, amemweka hadi JK ambae hana mpango huo! Wanachadema hawafiki hata milioni! Toeni kafara maana muda umepita sasa hamjaua![/QUO

Msengee Maji wewe
 
Kwa hiyo maandamano ya aina yoyote ile yasiwepo nchini simply kwa sababu ya uvunjifu wa amani? I doubt your capacity to conventional wisdom! Hoja dhaifu hutolewa na ubongo mwepesi. Think deeper before reacting.
 
Hivi unapozungumzia mafanikio ya demokrasia nchini Marekani unafikiri yalikuja yalikuja kirahisi rahisi?!
Hiki kizazi cha Bongofleva ni feki kweli; yaani mnawezaje kukubali kuishi kwa kuwaamini wezi wanaowapora haki zenu huku mkiwachukia wanao watetea?
Yaani mkishajua kubana sauti zenu, kujiimbisha kwa kufuata cd, kuvaa, wanawake, sembe, n.k mnasahau haki zenu zingine!!!

Ama kweli usitegemee ukombozi kuletwa na vijana wapenda Bongofleva, ngono, pombe, unga na sifa (za kijinga)...
Ndo maana CCM inafadhili sana mambo hayo ili vijana wazidi kudhoofika kimawazo!
 
Hawa watu sjui walikuwa wamejificha wapi, leo nimewaona na matamko yao feki, ambaye hajayazoea ana matatizo!
Wameungana na Mbowe kutaka kuandamana.

Wanasema eti askari wapo elf 35, wanategemea waandamanaji milion 20 ukitoa watoto na wamama. Ndo maana nimesema matamko yao ni feki maana kwenye hiyo idadi ameniweka hadi mimi ambae sina mpango huo, amemweka hadi JK ambae hana mpango huo! Wanachadema hawafiki hata milioni! Toeni kafara maana muda umepita sasa hamjaua!

Wewe Dada wanaume hawana shida na wewe endelea kutumika tu.
 
Back
Top Bottom