Elections 2010 Slaa: Mgombea sahihi katika wakati mbovu.

:lalala: there we go thread number 234,567,982,000 of lame attempts to sell a defective product...
Mi nasuiri hapa Quinine na Mwafrika nirudi kucheka... ila mkuu kusema uongo kama huu haufai maana si kwenye mtandao hata huko barabarani (si mjini hata vijijini) watu wanaongea kuhusu mgombea wenu na wameshampachika majina kama vile Dr Ahadi, Vasco Da Gama etc.
Propaganda hizi zote wala hazitu-affect in positive or negative way.. leaves us bored.. ila endelea tu kumnadi ni haki yako but thread hii itakufa mapema tu kama yale mengine ya propaganda...

Jamani Mwafrika, Quinine tunaomba zile picha zinazoambatana na maelezo kama haya :smile-big:

Mkuu Susuviri, Nilikuwa sijaiona hii.
Ngoja niingie studio kuleta picha za maktaba.
 
Kufika kila kona ya nchi ndilo litalomuangusha na ndilo nililolizungumzia. Hili si rahisi, kukiwa kumebaki siku 45.

Slaa hana silaha ya kushinda uchaguzi.

Sikuzungumzia wagombea wengine kwa sababu, sijaona kama mnawaandika sana. Isitoshe tuna muda wa kuwazungumzia na ni wengi, hivyo ili kutowachosha wasomaji ni bora kuwagawa katika makundi. Hapana shaka akuina Lipumba , Mrema na wengineo watakuja katika makala ayajayo.

Nasikitika kuangushwa kwa Slaa katika uchaguzi huu.

Wewe ni mwanaccm mnafiki, sasa eleza kuwa hali ya huyu mtoto inalinganishwa vipi na ubadhirifu wa Kikwete na wenzake

content-image-tanzania2.jpg
 
Back
Top Bottom