kumbe kweli chadema walifanya utafiti kabla ya kumweka dr slaa kugomea urais
maana haya matokeo ya awali yanatisha saaaaaaaaana duuuuh nimeamini, huyu jamaa kiboko, jk aliwaonya wana ccm mapema kwamba upinzani wame weka mtu asiye na doa, kumbe jk aliona mapema, aiseeeeee
eace: eace: eace:
Kumbe kweli CHADEMA walifanya utafiti kabla ya kumweka DR Slaa kugomea Urais
maana haya matokeo ya awali yanatisha saaaaaaaaana duuuuh nimeamini, huyu jamaa kiboko, JK aliwaonya Wana CCM mapema kwamba Upinzani wame weka mtu asiye na doa, kumbe JK aliona mapema, aiseeeeee
Yes Freedom is coming Tomorrow!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Niko na Channel Ten wanatangaza matokeo ya awali ya Moshi mjini. Ni CHADEMA TUUU
Ni nguvu ya Mungu inamsaidia ni nini? maana nakosa i don't get answers still, Sheikh Yahya utabiri wake mbona chali? Dr Slaa a new Power of hope, peace, democrasy, change in TZ history, sikutegemea kuona hii in my life haswa TZ niijuayo