Elections 2010 Slaa mbona ana nguvu hivi, duuuh, chadema walifanya utafiti kumbe kweli

Obama08

Senior Member
Sep 17, 2010
181
1
Kumbe kweli CHADEMA walifanya utafiti kabla ya kumweka DR Slaa kugomea Urais
maana haya matokeo ya awali yanatisha saaaaaaaaana duuuuh nimeamini, huyu jamaa kiboko, JK aliwaonya Wana CCM mapema kwamba Upinzani wame weka mtu asiye na doa, kumbe JK aliona mapema, aiseeeeee
 
kumbe kweli chadema walifanya utafiti kabla ya kumweka dr slaa kugomea urais
maana haya matokeo ya awali yanatisha saaaaaaaaana duuuuh nimeamini, huyu jamaa kiboko, jk aliwaonya wana ccm mapema kwamba upinzani wame weka mtu asiye na doa, kumbe jk aliona mapema, aiseeeeee

huyu jamaa ni msafi kiukweli.......anatia matumaini sana
 
Ni nouma! Jamaa anatisha mbaya. Yaani kama naota vile kumbe it's truely happening!!!
 
Nakwambia dr slaaaa ni noma na tuwe makini,cccm wasije chakachuwaaaaa
mapinduziiiii daimaaaaaaa
 
tuombe mungu tu maaana siku ya kuapishwa kw slaa yaja kama mvua
 
kwanini mtangazaji wa ITV (Reinhard Masako) anasisitiza watu wasifurahi saaaaana... ni kama ana onya kiana kwamba bado ni mapema mno!

kulikoni?!!!
 
Mm natetemeka kisirisiri, mtu asikwambie, Dr Slaa ni Daudi alimpiga Goliath, duuuh, yaani kama ndoto vile, mm bado siamini kidigo labda kesho ndio moyo wangu utatulia jamaa noma, nomaa, anakubalika, JK alijua mapema, na akatahadharisha, nafikiri CCm walipuuzia
 
Ni nguvu ya Mungu inamsaidia ni nini? maana nakosa i don't get answers still, Sheikh Yahya utabiri wake mbona chali? Dr Slaa a new Power of hope, peace, democrasy, change in TZ history, sikutegemea kuona hii in my life haswa TZ niijuayo
 
Kumbe kweli CHADEMA walifanya utafiti kabla ya kumweka DR Slaa kugomea Urais
maana haya matokeo ya awali yanatisha saaaaaaaaana duuuuh nimeamini, huyu jamaa kiboko, JK aliwaonya Wana CCM mapema kwamba Upinzani wame weka mtu asiye na doa, kumbe JK aliona mapema, aiseeeeee

Tatizo ni Je? JK na CCM yake wako tayari kushindwa na kukabidhi madaraka kwa Mshindi? Kwa bsababu mpaka dakika hii sijaona yeye kuonyesha utayari wa aina yeyote zaidi ya kuzana kulazimisha mambo kupitia vyombo vya dola.
 
Yes Freedom is coming Tomorrow!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Niko na Channel Ten wanatangaza matokeo ya awali ya Moshi mjini. Ni CHADEMA TUUU
 
Hawako tayari kutoka. Mtakumbuka arrogance kutoka kwa wastaafu wa CCM pale Jwangwani kuona watanzania halisi ni VIONGOZI WA CCM na wengine si watanzania halisi.

Lakini kuna nguvu ya umma ambayo kushindana nayo ni vigumu sana. Kuhusu utulivu, mtaona sasa ni nani anavuruga utulivu uliopo. Kura zimepigwa kwa utulivu wa hali ya juu sana. Lets wait and see.
 
Ni nguvu ya Mungu inamsaidia ni nini? maana nakosa i don't get answers still, Sheikh Yahya utabiri wake mbona chali? Dr Slaa a new Power of hope, peace, democrasy, change in TZ history, sikutegemea kuona hii in my life haswa TZ niijuayo

Tutafakari ukweli na undani wa falsafa yote ya... Peoples power!

Hakuna chombo chenye nguvu humu duniani zaidi ya UTU wa MTU, UTU una nguvu kuliko hata AKILI!!!

UTU wa Mtu unaweza kuzuia mabomu yote ..ya nuklia yasilipuke...ni mambo ya maarifa tu!!!

UTU wa Mtu ukiwa proffesionaly activated ndio vitu vyake unaviona hivi..Its so infinetly powerfull!! Nchi imepata wenyewe...!!

Utanzania na UTU.. kitu ni hicho hicho...Kama unajua Uasisi wa Taifa Tz....Utagundua siri ilipo!!

UTU ni ummoja, heshima, usawa, haki, tumaini na upendo.... Na Ndio nembo ya Tifa..nk!

Dr PhD..Slaa ....He knows exctly how to activate it!!

Kiua UTU ni ufisadi tu!!! Kiangamiza UTU ni Ufisadi...!!

Just Blast UFISADI firmly and effectivey and you have the Energy released... Tulianzia mwembe yanga, tukapitia pale richmond bungeni etc....the rest we know!!

JK Nyerere was good in this..aliwekeza kila kitu chake hapo...Kumbuka ...UTU sio function ya time, mater and space...so UTU haupitwi na wakati...is like Nyerere bado yupo...! Na mambo yote ya kiutu wanayosema yamepitwa na wakati...ni uchizi unawasubua tu kusema hivyo!! Muda unakuja vyote vitafufuliwa kama AZIMIO JIPYA!!

Utu ndio the only true instrument ya Kujengea ustawi na maendeleo ya jamii na Taifa kwa ujumla! ...Tulijua maazimio haya kama UTU/Binadamu na Maendeleo..By JK Nyerere!!

Nguvu Ya UTU kwa Taifa la Tz..its domant ..out there..!!!

Baada ya JK Nyerere kuondoka ...wakaitupiliambali...!!! They are Jocking...Kuna vitu havitupiki!!! Sasa wataanza kuamka na kutambua asili ya Utanzania!!! Na watatamka jina hilo kwa heshina na unyenyekevu...Kwani ndio utu na uasili wao!! Na Ufisadi si Utanzania!!

Akitokea Mtu mwenye Utu..akaona nguvu ya Utu ilipokuwa blocked soon...anai-activate na mlipuko utakao tokea hapo...mh!! Ni vugu vugu ambalo ndio kwanza linatokota!!!

UTU wa Tz uliokuwa umeachwa umevia...sasa umepata wenyewe.... wataufufua katika mtizamo mpya..

NA AZIMIO JPYA ... la UTU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom