Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

anafafanua vurugu zinazotokea huwa zinasababishwa na polisi
 
ila wananchi wameshajua mbivu na mbichi ndani.mbivu na mbichi ni zipi mzee
 
Anasema ye yuko straight na hapindi kama Katibu mkuu lazima asimamie nidhamu ya Chama na yeye kama Katibu Mkuu lazima awe mkali sana linapokuja katika swala la kuchukua maamuzi na kwa hilo lazma achukiwe na watu wachache wasiofuata miongozo na taratibu za chama.
 
Hili la kadi wanaspin kina Mwigulu. Kumbe kuna diwani alihongwa milioni 20 wakafukuza
 
Anasema ye yuko straight na hapindi kama Katibu mkuu lazima asimamie nidhamu ya Chama na yeye kama Katibu Mkuu lazima awe mkali sana linapokuja katika swala la kuchukua maamuzi na kwa hilo lazma achukiwe na watu wachache wasiofuata miongozo na taratibu za chama.

Ameshindwa kuongoza apishe wengine.
 
Ndo kilichobaki sasa, na atafafanua sana, ila wananchi wameshajua mbivu na mbichi ndani ya CDM.

Taswiraaaaa, kijana una khasira na Rais ajae eeenh. Utaumia sana ila ndo chaguo la Mungu.
 
Ameshaanza uongo tulipumzika kidogo kusikiliza pumba zake.

Uongo upi mkuu uliouona hapa unisaidie na mimi.Au labda wewe nisaidie kwa kunitajia kati aliyonayo ya CCM ni namba ngapi achilia mbali hayo mambo mengine ya kulipia.Tusiburuzwe na akili za watu mkuu.Tuuna mambo mengi sana ya msingi ya kufuatilia na sio kukaa na kufuatilia vitu visivyo na tija na Taifa letu.Muulize Mzee wa Propaganda(Tambwehiza) alirudisha lini kadi ya NCCR?.Mie nafikiri ilikuwa busara kwa wanaCCM kumuwekea limit Msemaji wenu angalau kabla hajaitisha Mkutano na waandishi wa habari basi kile atakachokiongea kipitiwe na watu kadhaa wenye busara ili kujihakikishia heshima yenu.La sivyo msije mkashangaa siku moja unaitishwa mkutano na waandishi wa habari na kutangazwa kuwa "jana nilikutana na Dr. Slaa hospitali anachoma sindano nikamuamkia hakuniitikia."
 
ameshindwa kuongoza apishe wengine.

ivi unamlinganisha dr slaa na kinana jangili, mmeshindwa kumuwajibisha kinana kwa kuwa ela za pembe za tembo anazoiba huwa anazirudisha ccm kisha mnazitumia kuwahonga viongozi wa vyama ili kuvidhohofisha
 
thatha; Duh! Waambie na wenzio waamke wamsikilize!

Mtumwa thatha; zomba; Rejao; Ritz;
na wengine wengi wa kufanana na hao na wamwone Katibu wa Watanzania tofauti na Rais wa NEC aliyepo madarakani!

Ndo kilichobaki sasa, na atafafanua sana, ila wananchi wameshajua mbivu na mbichi ndani ya CDM.
 
Last edited by a moderator:
Nimemsilikiza Dr Slaa....
Niliamua kuchelewa kazini ili niweze kuupata muelekeo wa huyu mtu....
Kwa sasa Tanzania hakuna kiongozi mwenye kuja mambo ya uongozi kama huyu, mawenye upeo mkubwa kama huyu, na anae wajua watanzania na anajua hasa wanatakiwa wafanayiwqe nini kwa sasa!!

Kinana hamfikii hata kwa njiti ya kibiriti, Mkapa kamwacha maili elfu, JK ni "maiti" dhidi Dr Slaa!!
 
Ndo kilichobaki sasa, na atafafanua sana, ila wananchi wameshajua mbivu na mbichi ndani ya CDM.
Naona unasikia uharo unaposikia jina la Dr Slaaa likitajwa! Wewe ndiye msemaji wa watanzania???
 
Back
Top Bottom